LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 17,635
- 32,961
Kuna vitu hapa duniani huwezi kuvielewa mpaka akueleweshe Likud.
Kuna watu hapa JF WaPo addicted with my opinion about everything.
They love the way I think. Sio Kwa meseji hizo inbox wakiuliza maoni yangu kuhusu mantiki ya kiroho ya mvua inayo nyesha Leo jijini Dar es salaam ambayo imeanza mara tu baada ya Lissu kutangazwa mshindi.
Kwanza nawaomba Moderator msiunganishe Uzi huu na Uzi mwingine .
Haya Sasa twende Kazi:
Tafsiri yangu kuhusu Mvua ya Leo ni kwamba Mbingu ( nature) inalia machozi.
Je, ni machozi ya furaha au machozi ya huzuni?
Au vyote Kwa pamoja? Kwa maana ya machozi ya huzuni na furaha Kwa pamoja?
Time will tell you better that I can do...
You need to know the real spiritual reason why that man wanted Lissu dead.
Watu wengi wana fikiria kwamba mtu yule muovu alitaka Tundu Lissu afe Kwa sababu alikuwa akimujumu Kwa mabeberu. Hell No!!!
Sababu halisi kwanini mtu yule alitaka Lissu afe ni hii hapa chini:👇👇👇👇
1. Mtu yule alitaka kuongoza nchi hii milele.
2. Mtu yule alikuwa mshirikina.
3. So kabla ya kuanza kutekeleza mpango wake ovu wa kuongoza nchi hii milele alienda " kuchungulia" kuona kama Kuna kikwazo cha kiroho kwenye mpango wake huo.
4. Akaonyeshwa kwenye kioo kwamba mtu ambae atachukua uongozi mwaka 2025 ni Lissu. ( Alidanganywa au aliambiwa Kweli? Time will tell u better than I can do)
5. So ili kuondoa hicho kikwazo option pekee ilikuwa ni ku destroy the physical body of Lissu ( To kill him)
Mtu yule alifanya shambulio la kumuua Lissu in the image and likeness of what Herode tried to kill Baby Jesus in Bethlehem. Herode aliambiwa na mamajusi kwamba nyota iliyo onekana mashariki mwa nchi Yake iliashiria kwamba amezaliwa mtu ambae atakuja kuchukua ufalme wake. Solution ilikuwa ni mtoto huyo kuuwawa..
We all know what happened baada ya shambulio la Lissu. He didn't die. Mungu akamkinga.
Miaka michache baadae alieagiza Lissu afe akafa yeye.
Hata Kwa issue ya Herode. Wakati Baby Jesus akiwa anaishi uhamishoni nchini Misri Herode akafa. Herode alikufa miaka mitatu baada ya kufanya jaribio la kumuua Yesu.
So Jesus came back to Bethlehem and and what followed thereafter is History.
Will Lissu be the president of this nation?
Hofu ya mtu yule dhidi ya Lissu ilikuwa valid?
Maono ya " manabii" wa mtu yule kuhusu Lissu yalikuwa valid?
Time will tell u better than I can do.
Niwatakie watanzania uchaguzi mkuu mwema.
Na niwatoe hofu hakutakuwa na Vita Tanzania as long as I am Alive and as long as I don't want you Tanzanians to go into civil war.