Tafsiri ya cyber crime kwa Tanzania

WilsonKaisary

JF-Expert Member
Apr 4, 2017
392
947

Wengi tunajua ni makosa yatakanayo na matumizi na internet na mitandao ya kijamii kwa ujumla ila si kweli kwa Tanzania.

Tanzania hili limekaa kisiasa sana kosa ni pale utapo jaribu kukosoa serikali na Chama Tawala, nani amefungwa kwa kukosoa chama pinzani? vyama pinzani vinatukanwa sana na hadharani lakini sijawahi kusikia mtu amekamatwa wala kufungwa au kutekwa.


BEN SAA NANE hadi leo na vyombo vya usalama hamna hata juhudi ya kumtafuta na huyu alihoji juu ya DOCTORATE ya magufuli au nae cheti feki?

Sasa Mkosoe MAGUFULI huchukuwi masaa 72 umekamatwa au kosoa serikali tu.

 
Soma sheria ya mtandao vizuri utuletee kipengele kinachoonyesha kuwa ukikosoa serikali unaumizwa. Kosa ni kosa tu katika sheria
 
Tatizo vijana wa Tanzania hasa wa ufipa midomo inanuka. Hampigi mswaki. Matusi mkononi
 
Tatzo huelewi kati ya kukosoa na kutukana..
Vijana wengi hamkosoi ila mnatukana..
MF. Kauli ya kusema nmeota rais atakufa huko ni kukosoa?
, mtu anajiandikia matusi kumtukana rais tena ya nguon kabisa bado mnataka mchekewe tu. Shenzzyyyy
 
Tatzo huelewi kati ya kukosoa na kutukana..
Vijana wengi hamkosoi ila mnatukana..
MF. Kauli ya kusema nmeota rais atakufa huko ni kukosoa?
, mtu anajiandikia matusi kumtukana rais tena ya nguon kabisa bado mnataka mchekewe tu. Shenzzyyyy
Pia kuota kifo cha mtu so tusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…