Tafadhali TFF mwalikeni Sure Boy katika Timu ya Taifa

kipenseli2021

JF-Expert Member
Jul 17, 2021
1,337
1,382
Hakuna mchezaji aliye na uwezo kama Sure Boy ambaye anaweza kuleta umoja kwa Timu ya Taifa ya Tanzania AFCON.

Tunaiomba TFF imwite Sure Boy na kumpa heshima anayostahili katika nchi hii. Watu wenye uwezo wa kushika dimba ni Sure Boy na Aucho tu. TFF, tafadhali mwalikeni Sure Boy, mwiteni Sure Boy.
 
Hakuna mchezaji aliye na uwezo kama SURE BOY ambaye anaweza kuleta umoja kwa TIMU YA TANZANIA AFCON. Tunaiomba TFF imwite SURE BOY na kumpa heshima anayostahili katika nchi hii. Watu wenye uwezo wa kushika dimba ni SURE BOY NA AUCHO TU. TFF, tafadhali mwalikeni Sure Boy, mwiteni Sure Boy.
Jana tumepelekeshwa sana na Zbar
 
Hakuna mchezaji aliye na uwezo kama SURE BOY ambaye anaweza kuleta umoja kwa TIMU YA TANZANIA AFCON. Tunaiomba TFF imwite SURE BOY na kumpa heshima anayostahili katika nchi hii. Watu wenye uwezo wa kushika dimba ni SURE BOY NA AUCHO TU. TFF, tafadhali mwalikeni Sure Boy, mwiteni Sure Boy.
Huo ni uwongo,uwongoooo tuna midfield nyingi kali kuliko huyo uliyemtaja,

Kuna yule anayecheza Tabora United sijui Najim / Nasib huyu kijana anaupiga mwingi sureboy hatii mguu na alivunjavunja kiungo cha yanga siku ile...

Sureboy ni mzee amechoka hana tofauti na msuva,na ndio maana kule utopoloni hachezi mara kwa mara....
Vijana wapo kwanini tuhangaike na wazee?
 
CR 7 ni kijana bado acha porojo ya Uzee
 
Hakuna mchezaji aliye na uwezo kama SURE BOY ambaye anaweza kuleta umoja kwa TIMU YA TANZANIA AFCON. Tunaiomba TFF imwite SURE BOY na kumpa heshima anayostahili katika nchi hii. Watu wenye uwezo wa kushika dimba ni SURE BOY NA AUCHO TU. TFF, tafadhali mwalikeni Sure Boy, mwiteni Sure Boy.
TFF ndo wamwite sue boy!!!
 
Back
Top Bottom