Baraka sheni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2015
- 471
- 197
Ndugu poleni na majukumu.
Kijana wenu natafuta kazi niweze kujikimu kimaisha, nina hali mbaya sana kiuchumu hali ambayo inaniletea msongo wa mawazo kufikia hatua ya kuwaza kupita kiasi ndugu zangu kiukweli hali yangu sio nzuri.
Nilikutana na Engineer USHIMEN akajaribu kwa kila namna kinishika. mkono ila hakufanikiwa siku ambayo nilitakiwa kwenda kwenye interview simu ilikuwa chaji kiukweli sina namna Mkuu USHIMEN MUNGU AKUBALIKI SANA MIMI NIYULE KIJANA TULIE KUTANA MUSOMA OPERATOR EXCAVATOR.
kabla sijaja kupost hapa nimefanya yafatayo nimezungukua viwandani bila mafanikio kuanzia keko hadi mkuranga ila sijafanikiwa.
nilikuwa mwanza kwenye ujenzi wa leri na huko ndio kulipo nipotezea ramani ya maisha maana kila siku tunaambiwa kazi kesho nimejikuta nimepoteza mwelekeo na ramani zote.
Ndugu zangu, watanzania wenzangu umri wangu ni miaka 27 naishi dsm elimu yangu ni kidato cha 4 .
ninaujuzi ufatao..
#nina ujuzi wa kutengeneza masai sandals viatu vya kimasai tatizo linalo nikwamisha ni mtaji.
#Pia ni operator wa heavy machine kama excavator, bulldozer, loller na wheel loader na nina leseni na vyeti vinavyo niwezesha kuendesha mitambo.
#nifundi wa magari madogo upande wa umeme wa magari.
pia ni steel fixer mzuri sana.
#pia graphic designer nina uwezo wa kutengeneza nembo mbali mbali.
naweza kufanya kazi yoyote halali tafadhalini.
NDUGU ZANGU NAOMBENI MSAADA MSONGO WA MAWAZO UNANIMALIZA TAFADHALI NIPO TAYARI KUANZA UPYA KUJIFUNZA FANI YOYOTE SINA CHOCHOTE NDUGU ZANGU SIELEWI NIFANYE NINI.
nipo tayari kufanya kazi katita mazingira yoyote ili niweze kuishi hapa mjini. kiukweli inaniuma sana tena nilipo kuwa nimefika na sasa nilipo na kila nikipambana bado sipati mwanga.
KUNAWAKATI NILIOMBA KILA MTU MSAMAHA HADI WAZAZI NILIHISI LABDA KUNA MAHALI NIMEKOSEA. ILA HAKUNA ALIE SEMA CHOCHOTE KIUKWELI NDUGU ZANGU MAISHA NI HATARI .
HUU MWAKA NIMIEZI TAKRIBANI 9 TANGIA MWEZI WA KWANZA HADI WA 9 NIMEJIKUTA NIMEPOTEZA KILA NILICHOKUWA NACHO KILA KITU SIELEWI NI KITU GANI AU NI KOSA GANI .
SIJAWAHI KUIBA WALA KUTEMBEA NA MKE WA MTU WALA KUUA ILA NAPITIA KIPINDI KIGUMU SANA.
KWA ATAKEWEZA KUNISHIKA MKONO KWA KUNIFUNDISHA FANI FLANI AU KUNISAIDIA SEHEMU NAYO WEZA KUPATA RIZIKI NITASHUKURU SANA.
NAPTIKANA KWA NAMBA 0694185384.
ASANTENI KARIBUNI SANA