Tabora United haifungiki na timu yoyote ya NBC PL. Kwa mwendo huu itachukuwa kombe

Hakuna msimu hata mmoja katika ligi kuu tukakosa timu ndogo zinazojikakamua..

Mwisho wa siku huwa mnaelewa mbio ndefu sio za Hussein bolt(Tabora) bali kipchoge(Simba, Yanga na Azam)

Tuko hapa.. Tabora hata top 4 hatakaa mwisho wa msimu
 
Hakuna msimu hata mmoja katika ligi kuu tukakosa timu ndogo zinazojikakamua..

Mwisho wa siku huwa mnaelewa mbio ndefu sio za Hussein bolt(Tabora) bali kipchoge(Simba, Yanga na Azam)

Tuko hapa.. Tabora hata top 4 hatakaa mwisho wa msimu
Labda itumike njia ya marefa kuwanyonga na kuwanyima haki yao. Vinginevyo Simba atachezea na ndiyo itakuwa mwanzo wa wao kuchukua kikombe.
 
Hàlafu tabora akacheze na Al ahly ww unaota kwel hata dunia nzima hakuna timu ndg kwa msimu mmoja kube a kombe kirahisi ery klabu bibgwa tabora yupo na mamelody aibu kwa nchi
 
Tumekuelewa hapa ulitaka kutuambia tabora atamfunga simba nyingine mbwembwe tu.

Naona umekomaa kama mchawi simba atafungwa na tabora kila komenti simba atafungwa na tabora.

Muone kwanza man united wewe.
 
Ni kweli Tabora United wangeweza kufanya vizuri lakini mleta mada fahamu kwamba hawawezi kuhimili figisu za Simba na Yanga. Timu yoyote ndogo ikiwa tishio itapigwa vita na hao vigogo wawili. Na mbaya zaidi kwenye hii ligi yetu ukipigwa vita na hawa vigogo wawili kwa pamoja haitoboi. Na kwa taarifa yako tu hujuma zimeshaanza kwa baadhi ya timu zimeanza kutaka kuwachukua wachezaji wao mkopo kutoka Tabora United na kuwahamishia timu nyingine bila sababu za msingi. Hilo ni moja na mengine yatafuata mpaka kuanza duru la pili watakuwa hoi kwa hujuma.
 
Na kwa taarifa yako tu hujuma zimeshaanza kwa baadhi ya timu zimeanza kutaka kuwachukua wachezaji wao mkopo kutoka Tabora United na kuwahamishia timu nyingine bila sababu za msingi.
Uko sahihi sana mkuu. Ifikapo January timu hii itakuwa dhaifu sana.
 
Wamemfunga Yanga, wamemfunga KMC na leo wamemfunga Azam. Bado Simba naye bila shaka atafungwa.

Nani wa kuizuia Tabora United kuchukua kombe msimu huu?
Ulikuwa mkoa gani ambao taarifa ya simba kuifunga tabora gongo 3-0 haikukufikia,ishi sehemu kuna network nzuri itakusaidia maisha yako
 
Back
Top Bottom