Tabora: Mwalimu wa Kituo cha Watoto adaiwa kumlawiti Mwanafunzi

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,732
30,638
Mwalimu wa shule ya kulelea watoto Tabora anatafutwa kwa kosa la kulawiti mtoto wa shule

Mwalimu mkuu wa shule hioo amesikitika sana na kusema mtoto huyo alikuwa akifanywa chooon

Mama wa Mtoto anasema alishangaa sikuhio mtoto amekuja ananuka alipombana mtoto akamtaja mwalm

Wakaenda mchunguza

Hatahivyo ndugu wa alielawiti wanahangaika kumhonga mama wa mtoto wayamalize

Mkuu wa mkoa ameapa atapatikana na kulaani hili.

Hivi 2024 kuna pepo gani jamani

ITV Habari
 
Mkuu wangu wa mkoa ujawahi kutuangusha hawa wahuni wafikishwe mapema mahakaman jana hayaya mwaka uchunguzi kama wana ushahidi wapite na sheria tu

20240807_200750.jpg
20240807_200745.jpg
 
Kutokutaja shule kunaleta wasiwasi, hii taarifa haijakamilika
Hata TV huna mkuu wanarudia saa nne..cheki website ya itv

Wakati mwingjne shule zinahitajika kuhifadhiwa sio wote wana akili hizo watu waziogope shule
 

Attachments

  • 20240807_200750.jpg
    20240807_200750.jpg
    2.7 MB · Views: 1
Kuna mambo ukiyasikia unawaza hivi ni hamu? Uwendawazimu au uchawi?

Nitashangaa sana nikigundua kua shida ni hamu, nitashangaa sana, kipindi hiki ambapo unaweza pata papuchi kwa 5000 tu ukatoka mwepesi
 
Back
Top Bottom