TABLET NZURI NI IPI?

senzoside

Senior Member
Mar 13, 2012
182
31
Habari za wakati huu ningependa kuuliza Tablet nzuri ni zipi nimeomba ushauri huu kwasababu niliwa nataka ninunue
 
ukitaka kununua kitu na kuomba ushauri kwa mtu kuna vitu muhimu inabidi useme

1. kiasi cha fedha ulichonacho
2. hio tablet unaenda kuitumia kwa kazi gani
3. unapenda operating system ipi
 
Matumizi tu ya kawaida
Kusomea! Kutafutia materials kwenye internet kwa kiasi chochote kile cha fedha mm nlikuwa nahitaji ambayo ni nzuri
 
Binafsi naona M 78 ya twiga hosting company (thl),a simple device na inafaa sana kusomea na hata kufundishia
Additional information kuhusu hiyo ina notes karibu zote za sekondari 1 to 6
Version ni KitKat 4.2...ukiwa interested ni pm
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…