Tabia 7 zinaonesha kuwa wewe ni mtu mwe IQ ya juu

Adam Clark

Member
Oct 7, 2023
31
80
Tabia saba zinaonesha kuwa Wewe ni mtu mwe IQ ya juu.
1.Kuongea mwenyewe

2.Kukesha usiku

3.Kuota ndoto za mchana.

4.Kuuliza maswali mengi

5.Kufanya fujo na ukafanikiwa.

6.Kuwa mpweke.

7.Kusoma vitabu.

NOTE:ivi vitu ukiwa unavifanya kwenye jamii yetu, kwa mtazamo wa watu utaonekana we umepagawa, ila hizo ni tabia za watu wenye IQ kubwa zaidi duniani ie:Robert Einstein, Charles Darwin
 
1.KUONGEA MWENYEWE
2.KUKESHA USIKU
3.KUOTA NDOTO ZA MCHANA.
4.KUULIZA MASWALI MENGI
5.KUFANYA FUJO NA UKAFANIKIWA.
6.KUWA MPWEKE.
7.KUSOMA VITABU.

NOTE:ivi vitu ukiwa unavifanya kwenye jamii yetu, kwa mtazamo wa watu utaonekana we umepagawa, ila hizo ni tabia za watu wenye IQ kubwa zaidi duniani ie:Robert Einstein, Charles Darwin
Ongezea ukiwa unafanya tofauti na mazoea ya Watu wengine ni km umechizika Asubuhi watu wanakunywa Chai Wewe unakula Ugali dagaa, msibani Watu wanalia Wewe unacheka
 
Tabia saba zinaonesha kuwa Wewe ni mtu mwe IQ ya juu.
1.Kuongea mwenyewe

2.Kukesha usiku

3.Kuota ndoto za mchana.

4.Kuuliza maswali mengi

5.Kufanya fujo na ukafanikiwa.

6.Kuwa mpweke.

7.Kusoma vitabu.

NOTE:ivi vitu ukiwa unavifanya kwenye jamii yetu, kwa mtazamo wa watu utaonekana we umepagawa, ila hizo ni tabia za watu wenye IQ kubwa zaidi duniani ie:Robert Einstein, Charles Darwin
Mzee una IQ ya juu sana🤣
 
8. Kutooa ama kuolewa mapema.
 
In general Ungeniambia ulevi wa kupindukia ungenifikilisha kidogo.

Hii oradha ni general au ni specific kwa professional flani, kwa maana usije ikawa unamlinganisha chui na tai kwa kigezo cha kupaa angani.
 
Ingekuwa ni kweli basi watanzania tungekuwa mbali sana..

Maana hayo yote uliyoyataja kila mtanzania aliyechanganyikiwa na maisha ndo yuko hivyo.
 
Tabia saba zinaonesha kuwa Wewe ni mtu mwe IQ ya juu.
1.Kuongea mwenyewe

2.Kukesha usiku

3.Kuota ndoto za mchana.

4.Kuuliza maswali mengi

5.Kufanya fujo na ukafanikiwa.

6.Kuwa mpweke.

7.Kusoma vitabu.

NOTE:ivi vitu ukiwa unavifanya kwenye jamii yetu, kwa mtazamo wa watu utaonekana we umepagawa, ila hizo ni tabia za watu wenye IQ kubwa zaidi duniani ie:Robert Einstein, Charles Darwin
naba 7 tu ndo sina hiyo tabiamaana mara mwisho kufanya ugomvi sikumbuki na nadhan haijawahi tokea,kwa hizo 6 zilizobaki na itoshe kusema mm ni genius
 
Tabia saba zinaonesha kuwa Wewe ni mtu mwe IQ ya juu.
1.Kuongea mwenyewe

2.Kukesha usiku

3.Kuota ndoto za mchana.

4.Kuuliza maswali mengi

5.Kufanya fujo na ukafanikiwa.

6.Kuwa mpweke.

7.Kusoma vitabu.

NOTE:ivi vitu ukiwa unavifanya kwenye jamii yetu, kwa mtazamo wa watu utaonekana we umepagawa, ila hizo ni tabia za watu wenye IQ kubwa zaidi duniani ie:Robert Einstein, Charles Darwin
Abraham Lincoln alikuwa mvivu sana ila alipenda sana kusoma vitabu kiasi alitembea km nyingi kufuwata kitabu library na ndie rais mwenye very high IQ
 
Back
Top Bottom