C calvny Member Aug 28, 2023 9 10 Sep 13, 2023 #1 samahanini wakuu nilikua naomba kujua kama naweza pata udhamini wa masomo hasa kada za afya kwa anaejua anisaidie wakuu
samahanini wakuu nilikua naomba kujua kama naweza pata udhamini wa masomo hasa kada za afya kwa anaejua anisaidie wakuu
T Tissaphernes JF-Expert Member Mar 27, 2018 2,902 3,557 Sep 13, 2023 #2 Kama huna uwezo wa kulipia tafuta njia nyingine kuliko kutegemea taasisi au watu. Nenda hata veta kisha utafanya unachopenda ukipata pesa Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kama huna uwezo wa kulipia tafuta njia nyingine kuliko kutegemea taasisi au watu. Nenda hata veta kisha utafanya unachopenda ukipata pesa Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
C calvny Member Aug 28, 2023 9 10 Sep 13, 2023 Thread starter #3 Tissaphernes said: Kama huna uwezo wa kulipia tafuta njia nyingine kuliko kutegemea taasisi au watu. Nenda hata veta kisha utafanya unachopenda ukipata pesa Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app Click to expand... lakini pia veta inahitaji pesa
Tissaphernes said: Kama huna uwezo wa kulipia tafuta njia nyingine kuliko kutegemea taasisi au watu. Nenda hata veta kisha utafanya unachopenda ukipata pesa Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app Click to expand... lakini pia veta inahitaji pesa