Weka accessBank. Sasa hivi anatoa promotion. Mimi nimeweka 80m kwa kila mwezi wananipa 14.9% kwa utaratibu ufuatao:- 80,000,000 x 14.9/100 = 11,920,000 per annum. 11,920,000 - 1,192,000 (kodi ya Serikali) = 10,000,000 (faida yako halisi kwa mwaka). 10,000,000/12 =833,333 (faida kwa kila mwezi). Mimi ninachukua faida yangu ya Tshs.833,333 kila mwezi kutokana uwekezaji wangu wa Tshs.80,000,000. Ukiamua kuchukua baada ya miezi mitatu, sita, mwaka faida inakuwa kubwa.[/
Hesabu zako ziko vibaya kidogi Mkuu Tshs 11,920,000 - 1,192,00 haiwezi kuwa 10,000,000 bali ni 10,728,000 na hizo Hesabu hapo chini zitabadirika