Taarifa ya uchunguzi wa madini ya Tume ya rais inapatikana mtandao gani?

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,735
Kama ilivyo taarifa ya Tume ya uchunguzi wa mambo ya madini ya miaka iliyopita ambayo ukigoogle utapata angalau muhutasari wenye kurasa kama 30 hivi.

Napenda kujua hii tunaipata wapi ili kama wazalendo tuisome na sisi tupate elimu hii ambayo Muda mrefu tumekuwa gizani.

Kama haipo tunaomba wahusika waiweke hata kwenye tuvoti ya wizara ili Kila anaependa aipakue na kujisomea....

Wenda Kuna mambo ya kujifunza zaidi ndani ya kazi hii iliyofanywa na wataalamu wetu
 
Prof. Mruma alimuomba Rais afanye hivyo kama ataridhia. Sasa hapo ni suala la Rais kuridhia, na sikusikia kama aliridhia pale kwenye hiyo hafla.
 
Kiongozi huu hapa muhtasari, naona ndo unapatikana huo lakini siyo ripoti yote. Jionee maajabu ya Musa humo, kontena lina madini matupu na mchanga ni 1.5% tu lakini eti bado unaitwa mchanga badala ya madini!!
 
Attachments

  • MUHTASARI-TAARIFA-YA-KAMATI-MAALUM.pdf
    146.9 KB · Views: 31
Kiongozi huu hapa muhtasari, naona ndo unapatikana huo lakini siyo ripoti yote. Jionee maajabu ya Musa humo, kontena lina madini matupu na mchanga ni 1.5% tu lakini eti bado unaitwa mchanga badala ya madini!!
Asante mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…