Taarifa ya TANESCO: Lori lagonga nguzo ya umeme mkoa wa Temeke eneo la Kizinga

pinpilojr

Member
Jul 8, 2015
59
10
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)

TAARIFA YA LORI KUGONGA NGUZO MKOA WA TEMEKE ENEO LA KIZINGA


Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Temeke kuwa usiku wa kuamkia leo Februari 18, 2016 kuna Lori limegonga nguzo ya umeme maeneo ya Mto Kizinga kwenye line ya Mbagala. Nguzo hiyo ilipogongwa iliangukia line ya Maweni. Hivyo maeneo yafuatayo yanakosa umeme:

Kijichi na Maweni. Mafundi wanashughulikia kuibadilisha nguzo hiyo ambayo pia imeungua moto.

Imetolewa na Ofisi ya Uhusiano TANESCO Makao Makuu
 
Kwa hiyo mnawarudishia lini????
Jumamosi?
Hapo kaguzo ka
Moja zingekuwa nyingi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…