Taarifa ya mashirika ya dini kuhusu baa la njaa

Mashirika mawili ya dini yanena na kutoa taarifa kuhusu njaa na hali ya ukame iliyoikumba taifa .
Yaitisha maombi maalumu ya kuombea taifa.

Hashtag Mwafaaaa
Nchi haina shamba

Nimewasilisha tu.
hawa nao wamepewa pesa waseme au nao ni wanasiasa
 
Hao hao si ndo hua anawaombaga wamuombee sasa leo apokee ukweli anaoambiwa kua nchi ina njaa na viongozi wa dini hawawez kukurupuka tu kuongea na sidhani kama na hawa wataambiwa kua wanaatumiwa.
Sasa hawa kweli ndo wapenz wa Mungu mana wanasema ukweli
 
Reactions: dtj
Aswaaaa Roho itamsuta.
 
Utasikia eti hawa nao wamenunuliwa.
Ukiwa kiongozi wa nchi kubwa kama Tanzania yenye watu wenye mitazamo na hali za kiuchumi mbalimbali kuwa makini na kauli zako wewe kama kiongozi wa nchi.
Kusema nchi haina shamba ni kauli isiyokuwa nzuri, hatupati matumaini kutoka kwa kiongozi.
Hivi ile njaa ilivyotokea kipindi kileeee viongozi hawakutamka haya maneno ya nchi haina shamba.
God this is too much, it is a good thing umegundua unahitaji kuombewa Mtukufu.
 
Inabidi na mamlaka ya hali y hewa ifungwe kwa kutangaza ukame maana kutangaza ukame kunaendana na kutangaza njaa!
 
Watangaza tu watu tufunge week nzima kuombea hiki kitisho kiendoke.
 
Mashirika mawili ya dini yanena na kutoa taarifa kuhusu njaa na hali ya ukame iliyoikumba taifa .
Yaitisha maombi maalumu ya kuombea taifa.

Hashtag Mwafaaaa
Nchi haina shamba

Nimewasilisha tu.
Hawa ni sawa na yale magazeti mawili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…