TAARIFA: Wageni Wanaoalikwa Kuja Nchini na Taasisi za Kidini

Utawasikia tunaonewa!
Hapana. Kuna kosa kubwa hapo. Hapa ni sawa na kusema wageni wote wa kikristo wapate ruksa ya Baraza la Maaskofu Tanzania. Watendaji wengi wa serikali wanaelewa BAKWATA ni taasisi ya kiserikali. BAKWATA ni taasisi ya kidini kama zilivyo taasisi zingine zilivyosajiliwa na serikali. Haipendezi kwa Taasisi moja kuhodhi dhima ya taasisi zingine.
 

Haswaa!
Toka lini Bakwata wakawa wawakilishi wa Waisilamu wote Tz. Je Sunni nao wapitishe wageni wao kupitia Bwakwata!
Wameaanza kuvulia sasa wanataka kutumia Uhamiaji ! Uhamiaji kaeni chonjo mtakuwa jipu bila kujijua.
 
Haswaa!
Toka lini Bakwata wakawa wawakilishi wa Waisilamu wote Tz. Je Sunni nao wapitishe wageni wao kupitia Bwakwata!
Wameaanza kuvulia sasa wanataka kutumia Uhamiaji ! Uhamiaji kaeni chonjo mtakuwa jipu bila kujijua.
Kuna watu wanataka kuanzisha migogoro kati ya taasisi aidha kwa kujua au kutokujua. Hivi hawafahamu kwamba wanataka kuchonganisha taasisi? Unakwenda BAKWATA kuomba kibali, wanaanza kukuzungusha, hivi kutakuwa na maelewano!!?
 
Kwanini serikali kila Mara kuingilia internal affairs za waislam, mbona hatuoni hayo kwenye wakristo.

Kuna maafisa wa serikali hawajisikii raha kama hawajauchokonoa Uislam.

Bakwata yenyewe ni tawi la CCM kama ilivyo UWT,UVCCM.

Kuna mambo yanaudhi sana
 
Hujui Bakwata na Serikali ni kama chanda na pete?
Huoni hata sikukuu za kidini za Kiislam ni tamko la Bakwata?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…