UtdProfile_ JF-Expert Member Aug 26, 2021 255 314 Aug 8, 2023 #1 🔴Leo: Chelsea imethibitisha kuwa Christopher Nkunku amefanyiwa upasuaji wa goti lake ambalo alilolipata huko Chicago. (Pre-seasons match), wakati timu hiyo ikijiandaa na Michuano ya Ligi Kuu (Premier League). 🔃Na imethibitishwa na Klabu atakuwa nje kwa wiki 16 Sawa na. Miezi Minne🤔🤔🤔.
🔴Leo: Chelsea imethibitisha kuwa Christopher Nkunku amefanyiwa upasuaji wa goti lake ambalo alilolipata huko Chicago. (Pre-seasons match), wakati timu hiyo ikijiandaa na Michuano ya Ligi Kuu (Premier League). 🔃Na imethibitishwa na Klabu atakuwa nje kwa wiki 16 Sawa na. Miezi Minne🤔🤔🤔.
CAPO DELGADO JF-Expert Member Aug 31, 2020 8,932 18,918 Aug 8, 2023 #2 Itabidi nithibitishe Hii TAARIFA. Ninawasiwasi ni 4 weeks.
UtdProfile_ JF-Expert Member Aug 26, 2021 255 314 Aug 8, 2023 Thread starter #4 CAPO DELGADO said: Itabidi nithibitishe Hii TAARIFA. Ninawasiwasi ni 4 weeks. Click to expand... Wiki 14 blood, hakuna upasuaji wa Goti wa kuweza kupona kwa 4 weeks
CAPO DELGADO said: Itabidi nithibitishe Hii TAARIFA. Ninawasiwasi ni 4 weeks. Click to expand... Wiki 14 blood, hakuna upasuaji wa Goti wa kuweza kupona kwa 4 weeks
UtdProfile_ JF-Expert Member Aug 26, 2021 255 314 Aug 8, 2023 Thread starter #5 HIMARS said: Ila waliambiwa Click to expand... Chelsea tena kwenye ugonjwa wa Goal moja kila mwezi 😂😂😂
HIMARS said: Ila waliambiwa Click to expand... Chelsea tena kwenye ugonjwa wa Goal moja kila mwezi 😂😂😂
Its Pancho JF-Expert Member Sep 21, 2018 15,978 26,433 Aug 8, 2023 #8 Jamaa alikosa world cup hivi hivi
A astrogist Member May 2, 2022 35 36 Aug 8, 2023 #9 Mbuzi wa masikin hazai Sent from my itel A661W using JamiiForums mobile app
Southern Highland JF-Expert Member Mar 22, 2017 15,135 25,758 Aug 8, 2023 #10 HIMARS said: Ila waliambiwa Click to expand... Huyo mchezaji kasajiliwa hata kabla hajapata injury ya kwanza kabla ya hii
HIMARS said: Ila waliambiwa Click to expand... Huyo mchezaji kasajiliwa hata kabla hajapata injury ya kwanza kabla ya hii