Taarifa njema kwa mfanyabiashara juu ya vefd

Esokoni

Senior Member
Aug 1, 2018
100
122
Utapunguza gharama kwa 45% ukitumia mashine ya VFD, hii ni mashine ndogo inayokuwezesha kutoa risti halali za EFD kwa kutumia simu yako ya mkononi, ambayo gharama zake mpaka inakamilika ni 280,000 tu (Unlimited).

Mashine hizi inakubalika 100% na TRA kote nchini.
  • Zinatoa risiti zote za VAT na zisizo VAT.
  • Unaweza kutoa ya mtandaoni na kawaida (Siftcopy & Hardcopy).
  • Unaweza kutumia popote hata kama hauna BANDO.
  • Unaweza kutumia kifaa zaidi ya kimoja
  • inatunza kumbu kumbu ya wateja, risiti na bidhaa unazouza.
  • Mashine ni za kucharg hivyo haziishi charg haraka.
  • Inatuma taarifa zote automatically ikiwemo Z-report

Karibu kama una swali lolote kuhusu mashine hizi.
Screenshot_20240404-084028_Video Player.jpg
 
Wenzangu Akina nani mkuu, lakini unaweza kununua hata Hao wanaouza bei hizo pia wapo wanaotoa BURE. Karibu.
Wafanya biashara wenzio.
Hao wanaotoa bure watakuwa na lengo lao la kuwala watu.
Mashine ni ya biashara halafu mtu atoe bure serious?
 
Wafanya biashara wenzio.
Hao wanaotoa bure watakuwa na lengo lao la kuwala watu.
Mashine ni ya biashara halafu mtu atoe bure serious?
Kwenye hii biashara Nina muda mrefu kidogo sio sana, kwa uzoefu wangu hauwezi kuuza mashine na system kwa chini ya hiyo laki mbili ukaendesha kampuni, labda uendeshe kimamagumashi, Kuna vitu mteja atavikosa na unaweza kushindwa kumhudumia baada ya malipo ya awali.

Gharama za uendeshaji ni kubwa ndio zinapelekea bei hizo mkuu.
 
Wanao toa bure ndy wap mkuu au wanao kopesha?
Zipo mkuu ukifuatilia ila kumbuka hii ni masine ya biashara alafu unaipata Bure, yaan kitu ulichokuwa unapata kwa laki sita alafu ghafla unapata bure au kwa laki moja! Kuwa makini kidogo
 
Wafanya biashara wenzio.
Hao wanaotoa bure watakuwa na lengo lao la kuwala watu.
Mashine ni ya biashara halafu mtu atoe bure serious?
Bure wanatoa mfumo,ambapo unalipia kila mwaka kama kawaida.

Ukitaka mashine ndo unauziwa
 
Kwenye hii biashara Nina muda mrefu kidogo sio sana, kwa uzoefu wangu hauwezi kuuza mashine na system kwa chini ya hiyo laki mbili ukaendesha kampuni, labda uendeshe kimamagumashi, Kuna vitu mteja atavikosa na unaweza kushindwa kumhudumia baada ya malipo ya awali.

Gharama za uendeshaji ni kubwa ndio zinapelekea bei hizo mkuu.
Nimeona kweli,wengi bei yao ni humo humo ulipoitaja.

Ningekuungisha mkuu,sema nimechukua last week
 
Zipo mkuu ukifuatilia ila kumbuka hii ni masine ya biashara alafu unaipata Bure, yaan kitu ulichokuwa unapata kwa laki sita alafu ghafla unapata bure au kwa laki moja! Kuwa makini kidogo
😂😂😂 duh maajabu
 
Bure wanatoa mfumo,ambapo unalipia kila mwaka kama kawaida.

Ukitaka mashine ndo unauziwa
Yes lazima upate hela mkuu, kuendesha system ambayo angalau ina watumia 10,000 na angalau 1000 wako active kila wakati na system isizidiwe sio rahisi mkuu.
 
Back
Top Bottom