Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,584
- 18,623
Ujue ukweli kuhusu Toto Afya Kadi.
Kwenye hili NHIF sijui wamefikiria nini kwa kweli, Maana mtoto mchanga hadi kufikia miaka mitano anasoma shule gani?Kwa wale ambao hawasomi? Hawana haki ya kupata bima?
Na mimi juzi nliuliza the same question.Kwa wale ambao hawasomi? Hawana haki ya kupata bima?
Na mimi juzi nliuliza the same question.
Wakajibu kua kama hasomi inabidi aungwe kwenye vile furushi vya wazazi au mzazi na mtoto/watoto
Kwenye hili NHIF sijui wamefikiria nini kwa kweli, Maana mtoto mchanga hadi kufikia miaka mitano anasoma shule gani?
Hii nchi hii sasa wa miaka 1hadi 4 watapata wapi..?Kwa wale ambao hawasomi? Hawana haki ya kupata bima?
Kabisa ni kama wa watumishi wa serikali tu..Huu mfuko inaonekana ni maalum kwaajili ya waajiriwa tu.
Sisi maskini acha tufe tu.
Huu mfuko inaonekana ni maalum kwaajili ya waajiriwa tu.
Sisi maskini acha tufe tu.
Inahuzunisha kwa kweli, tena wanajinadi kabisa kuwa haijaondolewa.Huu mfuko inaonekana ni maalum kwaajili ya waajiriwa tu.
Sisi maskini acha tufe tu.
Soma hapo wamesema atasajiliwa na mzaziKwenye hili NHIF sijui wamefikiria nini kwa kweli, Maana mtoto mchanga hadi kufikia miaka mitano anasoma shule gani?
Uwe unasoma kuelewa sio kusoma kujibuÀcheni siasa kwenye maisha ya watoto,
Hebu mtoinyeshe kama haijafutwa ipo kwenye kifurushi gani?
Wamesema watafunguliwa kwa utaratibu wa vifushi, unaelewa maana ya vifurushi?Soma hapo wamesema atasajiliwa na mzazi
Lakini watanzania nasi tumezidi kulalamika bila kufikiria!! Yaani leo watu wanalalamika utadhania ni inshu kubwaa, wakati wengi wao sio hata waathirika!! Wewe kweli kwa miaka 7,nchi nzima yenye watoto karibia milioni 20,ni watoto laki 2 na elfu kumi tu ndio waliokatiwa hiyo bima!!! Lakini leo ukiwasikiliza wanavyopiga kelele utafikiria ni pigo kweli?!! Kama kweli mnaihitaji kwanini msiiambie serikali itunge sheria kuwa kila mwanafunzi ni lazima akatiwe bima ya afya? Yaani iwe ni lazima iwekwe kwenye malipo ya shule, kabisa.Watu wanazungumzia watoto ambao bado hawajafikisha umri wa kwenda shule
Mwanzo watoto wote chini ya miaka 18 walipata hiyo huduma iwe kwa walioko shule au ambao hawakuwepo shule.
Hi ya sa hivi inabagua watoto wa chini ya miaka 5(ambao hawajafikisha umri wa kwenda shule)
Bora mngepandisha gharama za bima ya watoto chini ya miaka 5(ya kwenda shule)
kuliko kuifuta ,kwani watu wako tayari toa hata laki moja.
Mnavyosema waunganishwe kwenye vifurushi vya wazazi jee mnafaham familia ngapi haziwezi kuwa na bima ya familia??
Kama hili tuu limeshindikana jee hiyo mnayoita bima kwa wote litawezekana???