Ha ha haaa,wanaogopa vivuli vyao waende tu watapigiwa sauti na ndugu zaoTangazo limekaa kisanii kukwepa mkono wa dola.Maharagande ameogopa kuandika neno Chama cha cuf badala yake katumia neno Taasisi kukwepa kufungwa jela kwa kua hatambuliki na msajili,ameandika kwa kujificha
Inaonekana hata hiyo kesi yao wameshashindwa kabla ya kuanza kwa kukosa pia sifa
Maharagande
KNMHUMU
Sijaelewa
Sidhani kama CUF wanaigiza siasa. Lipumba aliachia mawazo mapya, lakini CCM wakamrudisha kwa nguvu!CUF inaigiza siasa.
Vyama vya Upinzani Tanzania vimeshindwa kuonyesha kwa vitendo demokrasia vinayoihubiri.
Maalim na Lipumba utadhani ni manabii wa chama, miaka Nenda rudi viongozi ni haohao.
TUNAHITAJI MABADILIKO, TUNATAKA SURA MPYA, MAWAZO MAPYA NA FIKRA MPYA
kwani wao wana kesi ya kujibu.Wapenzi na wanachama wanakaribishwa mahakamani!!!
Walijua wana watu, sasa matangazo ya nini?Ha ha haaa,wanaogopa vivuli vyao waende tu watapigiwa sauti na ndugu zao
Haa haa haaaaa uongozi ni wito, ni mzigo wa kuwatumikia wananchi sio unagombea tu ili uonekane huku Jf.Kagombeee wewe, nani kakuzuia???!
CUF inaigiza siasa.
Vyama vya Upinzani Tanzania vimeshindwa kuonyesha kwa vitendo demokrasia vinayoihubiri.
Maalim na Lipumba utadhani ni manabii wa chama, miaka Nenda rudi viongozi ni haohao.
TUNAHITAJI MABADILIKO, TUNATAKA SURA MPYA, MAWAZO MAPYA NA FIKRA MPYA
Huku ni kujilemaza kifikraUwezi kubadilisha asili ya muafrica. Ndio asili.
Mbona mapovu hivyo kijana? Tuliza msambwanda vuta pumzi uandike ukiwa umetulia ili ueleweke vizuri.Wewe unaigiza nini
unataka kuwaondoa wapambanaji ili mshuke kitahisi.