Taarifa Kwa Umma: Kufuata Sheria Na Kanuni za Utangazaji

Mi sio mwanahabari,hili bandiko sidhani kama linanihusu,ila hata wakitangaza kinyume na kanuni na maadili kwangu bado hainihusu
 
Hivi Kwenye kile kipindi star Tv ambapo kiongozi mmoja alisisika akimkomesha boss wa kituo Fulani cha utangazaji TCRA wamekuwa mabubu au sheria za maudhui Ni kwa ajili ya watu Fulani tu.
 
Hivi hizi tv na redio huwa zinawalipaje wafanyakazi wake. Mfano Clouds naona kipindi kimoja kina watangazaji mpaka 7. Hivi hawa watu wana mikataba ya kazi kweli au ndio uza sura uibuke na fursa ya kuwa na duka,celebrity uchwala kama gigy money nae nasikia ni mtanfazaji choice
 
Kitakachofuata ni adhabu dhidi ya kutotangaza habari zinazohusiana na mkuu wa mkoa..Yangu macho!
 
Pale Clouds wenye vyeti wachache sana wengi ujanja ujanja tu
 
No wonder ukiangalia kama NTV au KTN unaona hata field reporter tu ametulia ana proffessional attitude.

Ukitazama XXL wako kama 8 au 9 sasa sijui mshahara hata huyo mwajiri anautoa wapi wa kuwalipa. Naanza kuamini maneno ya Makonda sasa kwamba hawa ni waigizaji
 
Upo uwezekano lakini wengine ni Volunteers maana vijana wa leo wanayaweza ili mradi akifika club next door kuna mwaulanga ata zungusha raundi ya bia
 
Na yeye ni nani? Director?
 
Kwa mujibu wa Utafiti wa TCRA na taarifa ya Dk Mwakyenve Bungeni, 90% ya watangazaji wa TV na Redio nchini, hawana elimu ya uandishi wa Habari.

Chanzo: The Citizen, 6 Mei, 2017.

Vv
 
Mi sio mwanahabari,hili bandiko sidhani kama linanihusu,ila hata wakitangaza kinyume na kanuni na maadili kwangu bado hainihusu
How irrelevant you're. Yaani tangazo liko wazi kwa vyombo vya habari. Bandiko lako ni irrelevant kabisa
 
Alikuwa anakula nao ubwabwa na maharage toka mnazi mmoja mpaka mikocheni hakuna mama ntilie bora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…