Syphilis inatibika kwa dawa zipi?

Mondela

JF-Expert Member
Aug 20, 2021
2,567
3,777
Anae faham matibabu ya Syphilis anijulishe kama kuna additional drugs maana mimi nimeisha tumia Benzathine penicillin kuwatibu wagonjwa hasa hawa wa ANC imedunda, na wateja wengi unawachoma hiyo Benzathine penicillin wakija kupima mimba nyingine ukipima Syphilis ina react tena.
 
Angalia ni stage gani ya syphilis ?

Je dose unayotoa inaendana na stage ya syyphilis alokuwa nayo mgonjwa ?

Je hakuna uwezekano wa syphilis kudevelop resistance against hiyo penicillin ?

Je unazingatia kutibu couples au unatibu mmoja alafu akipona anaambukizwa tena na mumewe ?

Inawezekana mama anapona vizuri lwkini akirudi home anajamiiana na mumewe anaambukizwa tena.

Na kama unavyofahamu syphilis ina stage ambayo huwa inajificha lakini imo na inaweza kuambukiza pia.
 
Hapo unaangalia stage mkuu, itabidi uwe vizuri kugundua zile features ambazo mgonjwa anakuwa nazo kwenye kila stage. For primary and secondary stage tumia banzathine penicillin, ila for late and tertiary stage tumia penicillin G.
 
Anae faham matibabu ya Syphilis anijulishe kama kuna additional drugs maana mimi nimeisha tumia Benzathine penicillin kuwatibu wagonjwa hasa hawa wa ANC imedunda, na wateja wengi unawachoma hiyo Benzathine penicillin wakija kupima mimba nyingine ukipima Syphilis ina react tena.
Mkuu dawa za Hospitali ikishindikana kutibika kwa huyo mgonjwa wako hebu niletee mimi nipate kumtibia kwa dawa zangu za asili ili aweze kupona mgonjwa wako .
 
Back
Top Bottom