Wewe ukipewa nafas utabuni nini?Nimewaza sana bila kupata jibu yaani hapa nchini kwetu tanzania ni bidhaa gani ambayo tunaitengeneza au ilibuniwa hapa hapa bila kuiga popote au kukopi na tukaitengeneza wenyewe na kwenda kuiuza nchi za nje na kuiletea nchi kipato!!!je kama ukipewa mtihani huo ubuni na kutengeneza kifaa au chombo chochote bila kuiga ambacho kiliwahi kutoka je utabuni nini!!