Papushikashi JF-Expert Member Feb 28, 2016 10,913 13,232 Mar 18, 2017 #1 nauliza tu wadau, hivi yule aliyetobolewa macho na Scorpion, kesi yake iliishia wapi? na vipi bwana bashite bado anampa msaada kupitia ile kampuni yake ya GSM?
nauliza tu wadau, hivi yule aliyetobolewa macho na Scorpion, kesi yake iliishia wapi? na vipi bwana bashite bado anampa msaada kupitia ile kampuni yake ya GSM?
ukhuty JF-Expert Member Oct 9, 2016 16,877 41,961 Mar 18, 2017 #2 Scorpion hahaha ngoj wadau waje watiririke
S St Lunatics JF-Expert Member Aug 29, 2015 6,644 11,167 Mar 18, 2017 #3 Matukio ni mengi sana tokea Magu kuikamata ikulu. Sijawasikia akina Muingulu Nchemba, Membe, Pinda na January Makamba acha huyu Scorpion. Ndukiiiii
Matukio ni mengi sana tokea Magu kuikamata ikulu. Sijawasikia akina Muingulu Nchemba, Membe, Pinda na January Makamba acha huyu Scorpion. Ndukiiiii
Papushikashi JF-Expert Member Feb 28, 2016 10,913 13,232 Mar 18, 2017 Thread starter #4 duh! sinema limeisha kimasiara aisee...
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Dec 14, 2016 13,998 31,744 Mar 18, 2017 #6 Hili ni swali mkurupuko ila ni mhimu kwa kupeana habari kujua nini kinaendelea
Papushikashi JF-Expert Member Feb 28, 2016 10,913 13,232 Mar 18, 2017 Thread starter #7 kwa wale wanaojua kinachoendelea watujuze kuhusu kesi ya scorpion