Swali la uchokozi kwa Rais wa TLS, Waziri wa fedha na Waziri wa sheria

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,951
29,533
Hivi huduma inayotolewa na mawakili ambayo ni huduma aghali sana inakatwa kodi? Kama haikatwi kodi sababu ni nini?

Je Rais wa TLs anaonaje juu ya gharama zinazotozwa na mawakili kwa wateja wao ambao kwa kiasi kikubwa ni masikini?

Je waziri mpya wa sheria anaonaje kuhusu suala la mtu kupata huduma ya uwakili? Is it a service au biashara? Je anaonaje kuhusu kuweka regulation ya kumlinda mteja?

Kuhusu waziri wa fedha je haoni hili suala kuwa ni zaidi ya tata na inatakiwa tuongeze vyanzo vya mapato?
 
Unajua ni kwanni ofisi wa Mkono ilifungwa na TRA?
 
Go and do your Homework properly! Hivi hao Watanzania wanakuwa masikini pale tu wanapotakiwa kulipia Huduma za Mawakili ila sii Thamani ya kinachotetewa? Kama vipi nenda katoe msaada WA Kisheria, unaruhusiwa, utawasaidia sana hao masikini!
 
Duuuu makavu live.

Wanalipa kodi TRA na kila wakili anatakiwa kuwa business licence, na kila firm na kampuni ya sheria inalipa kodi, kampuni ya sheria ya Mkono ilifungiwa na TRA kwa kutokulipa kodi.

Kuhusu gharama bunge limekwishapitisha sheria mpya ya msaada wa kisheria kwa hiyo wale watuhumiwa wa makosa ya jinai wasiokuwa na fedha watakuwa wanalipiwa mawakili na serikali, hata sasa kuna mawakili wameajiliwa na TLS kwa ajili ya kutoa msaada kwa wasio na uwezo wa kuengage wakili japo si wengi. Nadhani sheria mpya itasaidia
 
Kuna tendency imeibuka kwa baadhi ya watu kuanzisha mada ambazo hawajazifanyia utafiti, na malengo yao yakiwa wazi kuwa ni kwa ajili ya ku discredit! Mmoja wao ni Jingalao!
Mimi nilishaacha kucoment chochote kinachopostiwa na Jingalenu, Bubblerosa &co, na mojawapo ni sababu uliyoitaja. Lakini pia nimegundua mtu anayelipwa kwa kueneza umbeya yuko tayari kusema chochote ili mradi aonekane yuko kazini muda wote.
 
Mimi nadhani ifike sehemu vijana tuwe na akili na kuacha haya mambo ya kipumbavu. Haya maswali yako ungekuwa na akili wala usingeyauliza. Ungetafuta tu majibu hasa kuhusu suala la kodi. Yaani law firm isilipe kodi. Tena siyo kodi tu wanalipia hadi leseni, na membership fees. Kuhusu gharama za huduma hapa pia nakuona mjinga. Yaani kuna gharama kubwa kama kufungwa miaka 3 ,5 au 10 kwa kukosa wakili competent? .Hizi shule zenu bwana
 
Somesha na wewe watoto wako wawe mawakili acha wivu wa kike

Kumbe kuna "wivu wa kike"! Nikuombe ufafanue la utakuwa umetukana bibi, mama, shangazi, dada, wake na binti zetu (mimi, wewe na wao).
 
Go and do your Homework properly! Hivi hao Watanzania wanakuwa masikini pale tu wanapotakiwa kulipia Huduma za Mawakili ila sii Thamani ya kinachotetewa? Kama vipi nenda katoe msaada WA Kisheria, unaruhusiwa, utawasaidia sana hao masikini!

Roho inakuuma utafikiri hiyo profession kaianzisha Babako!
 
Kumbe kuna "wivu wa kike"! Nikuombe ufafanue la utakuwa umetukana bibi, mama, shangazi, dada, wake na binti zetu (mimi, wewe na wao).
Wivu wa kike unawaza mume wako anaibiwa na hawara nje. wewe una kimbilia kutafuta huruma kuwa nimetukana nakuuliza una wivu mumeo anaibiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…