Swali: Je hiyo 40% ya kikokotoo ndiyo wafanyakazi walikuwa wanahitaji?

BANDOKITITA

JF-Expert Member
Oct 4, 2022
1,272
2,509
Leo waziri mwenye madhamana na fedha za Watanzania kasema bungeni kuwa KIKOKOTOO kimepanda 7% meaning that now is 40%. Swali ni je hiyo % ndiyo wafanyakazi walikuwa wanahitaji au walihitaji kurudishwa kwa KIKOKOTOO cha zamani (50%/50%). Na je vipi kuhusu kupunguza miaka na masharti mapya mengi waliyoingiza kwenye KIKOKOTOO kipya?

Wafanyakazi kazi kwenu, mmelia mmesikilizwa.

PIA SOMA
- Hatimaye kikokotoo chalegezwa, Serikali imepandisha Malipo ya Mkupuo kwa Wastaafu kutoka 33% hadi 40%

- News Alert: - Waziri Mwigulu awasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025
 
Leo waziri mwenye madhamana na fedha za Watanzania kasema bungeni kuwa KIKOKOTOO kimepanda 7% meaning that now is 40%. Swali ni je hiyo % ndiyo wafanyakazi walikuwa wanahitaji au walihitaji kurudishwa kwa KIKOKOTOO cha zamani (50%/50%). Na je vipi kuhusu kupunguza miaka na masharti mapya mengi waliyoingiza kwenye KIKOKOTOO kipya?

Wafanyakazi kazi kwenu, mmelia mmesikilizwa
Ulisikia wapi mfanyakazi ana haki?

Yale muwafanyiayo wafanyakazi wenu wa ndani ndo hayo serikali inawafanyia

Win win situation
 
Leo waziri mwenye madhamana na fedha za Watanzania kasema bungeni kuwa KIKOKOTOO kimepanda 7% meaning that now is 40%. Swali ni je hiyo % ndiyo wafanyakazi walikuwa wanahitaji au walihitaji kurudishwa kwa KIKOKOTOO cha zamani (50%/50%). Na je vipi kuhusu kupunguza miaka na masharti mapya mengi waliyoingiza kwenye KIKOKOTOO kipya?

Wafanyakazi kazi kwenu, mmelia mmesikilizwa
serikali imesikiliza watumishi na kuzingatia maoni yao, na itaendelea kuwaskiza na kujadiliana nao kupitia vyama vyao vya wafanyakazi ili hatimae kama kuna jambo jengine la maana, basi mashauriano yafanyike wakati wanaendelea kuwajibika katika kuwatumikia wanainchi 🐒
 
Kwanini wao wanaohudumia muda mfupi wanachukua chao choteee, tena kikubwa sana, mtumishi miaka yote hiyo apewe 40% tu?? Ni ndogo
Ili uwe pensionable inabidi uchangie miezi isiopungua 180. Ikiwa umechangia miezi chini ya 180 na umefikia kustaafu unapewa mzigo wote na hutapata zile hela za mwezi mwezi(pension).
Hii niliambiwa na mfanyakazi wa NSSF,mimi natarajia 100% kwani nitafikisha umri wa kustaafu na sijachangia miezi 180.
ILA Wabunge naona hata wale ambao hawajafikia umri wa kustaafu wanabeba 100%.
 
Swali la ufahamu je waliolipwa kwa asilimia 33% watarudishiwa iyo 7% yao??
Ila utumishi wa umma unakua kama mateso tu.
Huku wao wabunge wanachukua fedha zao zote leo ma sisiem wamesikia kimepanda 40% yamepuga makofi.
Unafiki unafiki.
Wewe itakuwa ulikuwa husikilizi hotuba ila umekuja humu kupiga kelele tu kama debe tupu. Waziri kasema kabisa watalipwa wote kuanzia mwaka wa fedha 22/23. Msifate mihemko ya mitandaoni, fatilieni mambo.
 
Ili uwe pensionable inabidi uchangie miezi isiopungua 180. Ikiwa umechangia miezi chini ya 180 na umefikia kustaafu unapewa mzigo wote na hutapata zile hela za mwezi mwezi(pension).
Hii niliambiwa na mfanyakazi wa NSSF,mimi natarajia 100% kwani nitafikisha umri wa kustaafu na sijachangia miezi 180.
ILA Wabunge naona hata wale ambao hawajafikia umri wa kustaafu wanabeba 100%.
Wewe inabidi kwanza ujue kutofautisha kati ya PSSF na NSSF. alafu ndo uje kujifunza tena hayo maswala unayoyaongelea. Wengi wenu naona mna mihemko ya kuchangia ila kinachopigiwa kelele hamkijui kwa undani.
 
Leo waziri mwenye madhamana na fedha za Watanzania kasema bungeni kuwa KIKOKOTOO kimepanda 7% meaning that now is 40%. Swali ni je hiyo % ndiyo wafanyakazi walikuwa wanahitaji au walihitaji kurudishwa kwa KIKOKOTOO cha zamani (50%/50%). Na je vipi kuhusu kupunguza miaka na masharti mapya mengi waliyoingiza kwenye KIKOKOTOO kipya?

Wafanyakazi kazi kwenu, mmelia mmesikilizw
Kuna muda unachokitaka ukikikosa inabidi upende unachokipata. 40/60 sio mbaya in such, peovided kwamba tulikuwa kwenye 33/67.

Vyama vya wafanyakazi inabidi vipongeze kwanza kwa hata effort kidogo zimewekwa na serikali. Ila waendelee kupaza sauti kuhakikisha wanafikia wanachokitaka.

Kwenye big tables, incentives yeyote unayopewa na mtu ambaye yupo fixed solid inabidi uichukulie positive kama kweli lengo lako ni kujenga na sio kubomoa.
 
Serikali iko hivi.....

Kama wanataka kitu kitoke 60 mpaka 30, watawaambia wananchi itakuwa 20.... mtalialia halafu watarudisha 30 yao.... na mtawapongeza sana kwa "kusikiliza" maoni yao
 
Back
Top Bottom