Swali: Ernest and Young auditing Wameita?

baest

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
273
168
Habari wakuu, poleni na majukumu.

Napenda kujuzwa juu ya firm tajwa hapo juu kama wameita waliopita katika mchujo wa aptitude test uliofanyika jumaosi iliyopita.

Natanguliza shukrani sana.
Usiku mwema
 
Habari wakuu, poleni na majukumu.

Napenda kujuzwa juu ya firm tajwa hapo juu kama wameita waliopita katika mchujo wa aptitude test uliofanyika jumaosi iliyopita.

Natanguliza shukrani sana.
Usiku mwema

Ndiyo wameita.Oral interview ni Jumamosi ya keshokutwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…