Katika mitazzamo ya watu namataifa hsimu na tishio yanayoishi kwa hofu ya ugaidi duniani yanaona kuwa kuna namna mbalimbali zinazopelekea ugaidi na leo ISIS ishike vichwa vya habari sehemu mbalimbali duniani.
Upo uwezekano mkubwa wa kushamiri kwa makundi na ama yasiishe daima dumu.
Wakati wengine wakishutumu ISIS na Ama ugaidi kama tisho si wote wanawo ona na Ama kutojionyesha kuunga ama kutounga mkono makundi haya.
Wakijadili katika kipindi wataalamu na maprofesa Israel na Marekani, walikiri kuwa hata umoja wa ulaya katika sera yao ya sheghen inachangia kusaidia kuwapenyeza wanamtamtandao wa ISIS na kurahisisha kazi zao ka kulipua na hivyo kusababsha makundi na wananchi kuishi kwa kutoamini usalama wao.
Mtazamo wangu unanipa picha kwamba kwetu sisi nchi maskini tunaotumiwa na makundi haya kufanya maasi haya ya kihalifu, tunatofautiana , wengine wanatazama kama pande mbili zinazokiinzana, nchi tajiri na ama kusimamia misimamo yao ya kiimani husababisha wananchi waliochosha na maisha katika mataifa yao kujiunga na vikundi hivi.
Ama katika tukio la mmarekani na mkewe alietekeleza mauaji hivi karibuni inatoa picha kwamba kila familia yenye wanandugu huwezi jua ni nani anaunga mkono pande zii, hivi si rahisi sana kumtambua adui yako, katik avita dhidi ya ugaidi na makundi yanayojiita isis.
Sasa basi tuna wakati mgumu kupambana na ongezeko la makundi ya kigaidi duniani.