Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,925
- 15,631
Duh...kweli adui yako mwombee njaaa!
Hivi kweli 'SuperPower' wetu kafikia hatua ya kulialia njaa?! Hadi Ikulu 'kubwa' kuitisha kongamano rasmi la kujadili namna ya kupigana vita na adui mpya 'njaa' anayesumbua taifa teule!
Kweli maajabu hayaishi dunia hii.
Asante sana Urusi kumvua nguo Super Power hadi kufikia level za third world countries ambazo nazo bado zapambana na adui njaa.
Ee Magufuli, Mungu angekujaalia umri walau miaka mitano ungeshuhudia zile ndoto zako za kuwaona watu (mabeberu) waliokuwa wakiishi kama malaika kwa dezodezo za mafuta na gesi za Urusi sasa wanaishi kama mashetani vile..
====