Hawataki kwenda wanajidai wako bize.
Ila huu uandishwaji wa kiwaki sana, kuna mtaa nimeenda nikakuta mwenyekiti sijui ndo karani anadaka watu juu juu anawaandikisha, hata waliosema tayari wameandikishwa huko anawahimiza wajiandikishe kwake na wataje na majirani zao na namba zao wawaandikishe pia.