Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 1,956
- 5,320
Leo ni siku ya mwisho ya kuandikisha wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27.
Hali hii inatia wasiwasi baada ya karani na mwenyekiti wa Anglikana B, Kata ya Katandala, Manispaa ya Sumbawanga, kujitokeza kuandikisha wananchi nyumba kwa nyumba, jambo ambalo siyo utaratibu ulioelekezwa na TAMISEMI
Mwenyekiti huyo alifanya hivyo jana Oktoba 19, ambayo ilikuwa ndiyo siku ya kukabidhi ofisi na kupisha taratibu zingine za uchakuzi kuendelea.