MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,701
- 71,035
Uaza kulipa kodi mkuu, kukwepa sio deal tenaWakuu habari za asubuhi,
Waziri mkuu wa Mstaafu mh. Fredrick Sumaye amesema mgogoro unaoendelea Zanzibar ni kina kirefu kwa Magufuli.
Chanzo: gazeti la mtanzania
Mkuu usiogope jina mimi ni mlipa Kodi mzuri sana, ndiyo maana humu jf kuna watu wanaitwa ibilisi, jambazi, fisadi, al-shababu n.k.Uaza kulipa kodi mkuu, kukwepa sio deal tena
Kama ni mkwepa kodi mpeleke mahakamani jf hatuna uwezo wa kusikiliza kesi kama hizi,so kushitaki hapa ni sawa na kupoteza mda!!!Uaza kulipa kodi mkuu, kukwepa sio deal tena
Mkuu Magufuli ni amiri jeshi mkuu wa majeshi ya Tanzania kwa nini ashindwe kuumaliza huu mgogoro, sema anaegemea upande wa chama chake badala ya kuheshimu maamuzi ya wazanzibariKuna ukweli hapa.
Afadhali umenitetea mkuuKama ni mkwepa kodi mpeleke mahakamani jf hatuna uwezo wa kusikiliza kesi kama hizi,so kushitaki hapa ni sawa na kupoteza mda!!!
Nguvu anayo sana tu, sema hataki kusimamia maamuzi ya wazanzibari bali anataka kukibeba chama chakeHilo halina ubishi, mimi mwenyewe sielewi nguvu aliyo nayo Rais wa JMT nchini Zanzibar
Mkuu kwa jinsi ninavyoelewa tatizo la Zanzibar si la kiusalama bali ni la kisiasa sasa Rais wa JMT anaingia vipi? Na kwa mfumo wa Muungano tuna Zanzibar na Tanzania hatuna Tanganyika na tunachanganywa mara Zanzibar ni nchi mara sio nchi(ila ina Rais na serikali kabisa) hivyo Rais wa JMT ni kama mshauri kwenye mambo ya kisiasa upande wa Nchi jiraniNguvu anayo sana tu, sema hataki kusimamia maamuzi ya wazanzibari bali anataka kukibeba chama chake
Mkuu tatizo la zanzibar ni shein kupora ushindi wa maalim Seif Sharif Hamadi, hii ni dhuluma kwa wazanzibari kwa hiyo anachotakiwa kufanya magufuli ni kusimamia haki tu basiMkuu kwa jinsi ninavyoelewa tatizo la Zanzibar si la kiusalama bali ni la kisiasa sasa Rais wa JMT anaingia vipi? Na kwa mfumo wa Muungano tuna Zanzibar na Tanzania hatuna Tanganyika na tunachanganywa mara Zanzibar ni nchi mara sio nchi(ila ina Rais na serikali kabisa) hivyo Rais wa JMT ni kama mshauri kwenye mambo ya kisiasa upande wa Nchi jirani
Kwa hiyo tunatarajia uamuzi wowote ule utakuwa katika misingi ya hakiWatu wanasahau kuwa tatizo la Zanzibar halikuanza jana wala juzi. Magufuli amezungukwa na washauri wakiwemo marais wote wastaafu. Uamuzi wake kuhusiana na issues zozote zile hata siku moja hauwezi kuwa ni wake binafsi bali ni uamuzi wa taasisi inayoitwa urais.
Kikwete alikuwa analala kwenye Ndege au uwanja wa Ndege.Nitajieni kimoja ambacho Gufuli amefanya au kuelekea kufanya vizuri.Bora hata Kikwete
neno haki hutegemea mambo mengi, kwako inaweza kuwa ni haki lakini kwa mwingine isiwe hivyoKwa hiyo tunatarajia uamuzi wowote ule utakuwa katika misingi ya haki