figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,671
- 55,579
Wakati ukifika .Nafasi ya Mwenyekiti taifa inagombewa lini?
Mwisho wa ccm ilala umefika rasmi .Huyo mbunge ajaye, huoni kama itamletea pingamizi kwa kuanza kampeni mapema?
Njoo hapa Morogoro Mjini kila uchaguzi tunawapa Jimbo waarabu au wahindi, kwao sipajui!CHADEMA Pwani Wamechaguana kanda ya Kaskazini tupu.Kwani huyu Sumaye kwao si Manyara?
Ndio uana-harakati huoSumaye anahangaika ku-bounce back.Ukifikia level ya juu kama uwaziri mkuu kurudi tuvyeo tudogo kama huto twa mwenyekiti wa CHAMA mkoa ni kudhalilisha taasisi ya uwaziri mkuu.Kuna level ukifikia kubali tu kustaafu uishi kama mstaafu,mshauri nk sio kujishusha hivyo.
Hivi BASHITE kwao si KOLOMIJE?CHADEMA Pwani Wamechaguana kanda ya Kaskazini tupu.Kwani huyu Sumaye kwao si Manyara?
Duh. Kitoka uwaziri mkuu mpaka uwenyekiti wa chama. Kwani hajamaliza kuiba?Matokeo Baraza la Uongozi CHADEMA Kanda ya Pwani
Mwenyekiti
Kidera : 15 = 17%
Sumaye : 74 = 83%
Makamu Mwenyekiti
Hassanali :18 = 20.2%
Kubenea (MB): 60 =67.41%
Mkono: 11 =12.35%
M/Hazina
Kasilima : 19= 21%
Ruth (MB) : 50 =56%
Lucy (MB) : 20 =22%
Idadi ya wapiga Kura: 112
Kura zilizopigwa : 89
Hongera kwa Washindi.
My Take
Hawa wabunge sijapendezwa na Kugombea vyeo hivi kwani kuna watu wasio na cheo chochote kwenye chama Waligombea. Hapa haki haijatendeka kwa kweli japo ni Demokrasia. Imefika wakati na CHADEMA wabadilishe Katiba, Mtu mmoja, cheo Kimoja.
Haya ni Maoni yangu, nawatakia Kazi njema Washindi.