F Frank Kitori New Member May 4, 2016 2 0 Jun 25, 2016 #1 Ndugu zangu hili tatizo la DNS Server not found mbona linazidi kuwa sugu Suruisho lake la kudumu ni nini hasa?
Ndugu zangu hili tatizo la DNS Server not found mbona linazidi kuwa sugu Suruisho lake la kudumu ni nini hasa?
Njunwa Wamavoko JF-Expert Member Aug 11, 2012 5,757 2,356 Jun 28, 2016 #2 Frank Kitori said: Ndugu zangu hili tatizo la DNS Server not found mbona linazidi kuwa sugu Suruisho lake la kudumu ni nini hasa? Click to expand... Onesha Error kwa picha unapata hiyo error wakati gani na kwenye kifaa gani?
Frank Kitori said: Ndugu zangu hili tatizo la DNS Server not found mbona linazidi kuwa sugu Suruisho lake la kudumu ni nini hasa? Click to expand... Onesha Error kwa picha unapata hiyo error wakati gani na kwenye kifaa gani?