Ivi tukiamua kuacha kula vitu vinavyotumia sukari tutapata madhara gani?Sukari sio nzuri kwa chukua tahadhari sasa
Vipi kwa hujuma ambayo naamini itafanyika? Waagizaji wanaweza kunua sukari yote ili kutengeneza uhaba feki ili wapewe tena dili la kuagiza sukari
Hili nalo wazo...This country needs a cruel heartless inhuman and ruthless God fearing dictator to make things go on track na rais wetu bado hana hizo sifa, ndio ni mcha Mungu ila ana chembe chembe bado za huruma.
Inabidi wawili ama watatu hata 10 hadi elfu tuu walishwe shaba halafu akaushe kwa maslahi mapana ya taifa. Ama kwenye ziara za kushtukizia yani hamna kuongea ni kugonga majipu makonzi mbele ya kamera hii ni psychological approach nzuri sana. Akifanya hivi baada ya miaka mitano tutakuwa tunatoa misaada na mikopo kwa nchi jiran. Upuz kama huu wa sukari na mengine yataisha
wauzaji wandani wanamatatizo huwezi kumpangia mfanys bishara faida ,umuuzia bei ya jumla kubwa halafu asafirishe aje auze 2000?Wadau kama ambavyo tumesikia agizo la raisi la kupinga uingizwaji wa sukari toka nje, ninampongeza raisi JPM kwa hili,.
Ila hatua hii kwa kipindi hiki itaifanya bidhaa hyo muhimu kupanda bei mno na kua kero kwa watanzania; sio vibaya kuvipa fursa viwanda vya ndani ila maamuzi haya ni ya ghafla ambayo hayajazngatia madhara ya awali kwa wananchi.
Hofu sio soko, hofu ni ubora na kiwango cha uzalishaji kinachofanywa na viwanda vyetu kama kitaweza kuzalisha kuendana na idadi ya walaji, ngoja tuone.