Ni kama hivi wewe umejiuliza na umefuatilia kwanini wametoka nje, unakubali kimoyomoyo kuwa chama chetu kinafeli. Vyombo mbalimbali vya kimataifa vimetangaza habari hii kwa dunia na kuiweka nchi yako sehemu fulani kidemokrasia.Kutoka kwao hakujawahi kuwa na tija hata siku moja
Naomba mnitajie faida zilizopatikana kwa wao kutoka nje
Watoke au waingie i do not see any added value, kwani kukaa kwao hutumia takribani tshs 126,720,000 kwa siku na hata wakitoka still wanatumia kiasi hicho hichoKutoka kwao hakujawahi kuwa na tija hata siku moja
Naomba mnitajie faida zilizopatikana kwa wao kutoka nje
Mburura hawa jamaa, watoke tuKutoka kwao hakujawahi kuwa na tija hata siku moja
Naomba mnitajie faida zilizopatikana kwa wao kutoka nje
hv wananchi wao waliwatuma kutoka nje ya Bunge, sheria ya bunge (130) ina mpa spika mamlaka ya kuhamua kadri anavyo ona inafaa, ukawa wasome sheria za bunge na wazielewe
Sugu alipata kura nyingi kuliko wabunge wooote wa ccm mkoani mbeyaKutoka kwao hakujawahi kuwa na tija hata siku moja
Naomba mnitajie faida zilizopatikana kwa wao kutoka nje
Hata kama huwa tunatofautiana ki itikadi naomba leo nikupongeze mkuu kwa uzalendo huoHakuna sababu ya kuingia kusikiliza upuuzi wa huyo naibu spika. Naunga mkono hoja