Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,717
- 239,305
Hii ndio Taarifa ya leo kutoka Mbeya, ni Dhahiri kwamba Mbeya hakuna CCM, lakini kuna yale Mabaki au Masalia ya Magugu Maji, ndio yanamalizikia kusafishwa
Hii ni Kata ya Isyesye, ambako Masomo ya Uchaguzi wa serikali za mitaa yanaendelea kutolewa, huku Wananchi wakielewa kwa kiwango cha Kutisha!
Soma Pia: Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa aendelea kukomboa Majimbo yaliyoporwa 2020, Sasa ni zamu ya Mafinga