Subwoofer kusumbua kwenye bluetooth

Injika

New Member
Aug 30, 2024
1
3
Subwoofer yangu naona inashida. Nikiwasha upande wa bluetooth inalia alafu inaacha kutoa sauti wakati bluetooth bado inaonekana imeunganishwa. Sijajua ni kwa sababu gani, mwenye ujuzi anisaidie tafadhali
 
Kama ukiitumia kwa njia ya kawaida inafanya kazi vizuri basi huenda tatizo likawa moja wapo ya haya:

1. Compatibility ya bluetooth versions. Yaani labda version ya device na ya subwoofer hazipatani. Sasa kama ni hizi za kichina huwa hawaweki wazi specification zake kwa hiyo namna ya kujua version yake inaweza kuwa shida.
2. Shida nyingine inaweza kuwa firmware issues kweye sub au kwenye device. Jaribu device tofauti uone matokeo yatakuwaje .
Kama subwoofer imetoka kwenye genuine manufacturer basi unaweza ku update firmware . Kama ipo ndani ya warranty ipeleke kwa supplier mtafute i ufumbuzi
Lakini kama ni za hawa wachina unaweza ukalazimika kununua nyingine
 
Kama ukiitumia kwa njia ya kawaida inafanya kazi vizuri basi huenda tatizo likawa moja wapo ya haya:

1. Compatibility ya bluetooth versions. Yaani labda version ya device na ya subwoofer hazipatani. Sasa kama ni hizi za kichina huwa hawaweki wazi specification zake kwa hiyo namna ya kujua version yake inaweza kuwa shida.
2. Shida nyingine inaweza kuwa firmware issues kweye sub au kwenye device. Jaribu device tofauti uone matokeo yatakuwaje .
Kama subwoofer imetoka kwenye genuine manufacturer basi unaweza ku update firmware . Kama ipo ndani ya warranty ipeleke kwa supplier mtafute i ufumbuzi
Lakini kama ni za hawa wachina unaweza
CORAL 👊🏻
 
Back
Top Bottom