Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,470
- 3,775
HeheheSasa hivi tunae hapahapa kwa Nyerere, amegeuka chawa mwandamizi wa mama Samia.
Yaan nikimuangalia sijui kama hata shoo anaweza vzr, waliosoma CUBA ndio wanaelewa 😅Huyu jamaa alijijengea heshima kubwa sana katika bongo fleva na kuonekana ni mmoja ya wasanii wa bongo wanaopush mziki huo kimataifa.
Kuna kipindi akawa yupo mamtoni huko anapiga mitkasi yake!
Sasa hivi tunae hapahapa kwa Nyerere, amegeuka chawa mwandamizi wa mama Samia.
Kichaa Dotto Magari aliwahi kutuambia, maskini hana kiapo. Sasa nimekubali msemo wake.
Nini hasa kimemtokea msanii AY ?
View attachment 3247946
Kwa kweli inasikitisha kuona watu wanawaingilia wenzao katika haki zao za kikatiba na kibinadamu.