Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,610
- 17,052
Nimepokea maswali meeengi kwa wadau wangu huku jf kuwa Money Penny ni nani, Money Penny ndio nani?!
Wengine mnasema money penny ni lara 1 wengine mnasema ni Mange Kimambi wengine wanasema namwiga Lara 1...eh!
Naomba ni clear the insain air kwenu wadau wangu wa nguvu wa JF.
Mimi sio lara 1 wala Mange aliejifichaaa, mimi ni mimi hunijui sikujui kwahiyo kama unahisi namkopi lara 1 sawaaa ni wewe lakini sijawahi andika stori huku jamii forum au kwenye website yangu au APP yangu ukakuta hata moja inajirudia... au hata moja imemfanania Lara 1
kwahiyo kama unataka ku hate wewe hate kulingana na ulivyo na upande uliochagua kuukaa hainisumbui, siko hapa kutengeneza "TEAMS" nipo hapa kufanya kazi
[HASHTAG]#hapakazi[/HASHTAG] tu
Mimi ni mwandishi wa hadithi, scripts za movies, series, drama,
Nina Elimu ya Executive MBA, Degree ya BAF, nipo very talentented, creativeness, nina akili nina highest intelligency nimezaliwa Smart nipo funny, charming ndivyo nilivyooooo sasa huwezi kubadilisha ukweli kuwa uongo...
VIPI KWANI KUNA MTU AMENUNA
Wengine wanasema wakisoma hadithi zangu wanakuwa kama wanaangalia sinema... jamaaani nashukuru sana hii inaonyesha kazi zangu zinapendwaaa
To make a Long Story short mimi ni mzaliwa wa Dar, nimesoma Dar vidudu mpaka chuo, kazi Dar, makazi Dar, wachumba Dar, Mume Dar, Biashara Dar ... Mtoto wa Upanga, Oysterbay, Mbezi Beach, Bunju, Mbweni ...
Money Penny mke wa mtu jamaaa tuheshimiane basi wale mnaonifuata dm kunitongozaaa, mimi sina mpango wa kuchepuka na sijawahi kuchepuko usijisumbue kuja na mistari yako miiingi ya kunitongoza mimi umechelewaaa labda uje tufanye maendeleo lakini sio MAPENZI...
STORI / HADITHI NILIZOANDIKA TANGU NIINGIE JAMII FORUM MWAKA 2016 NI HIZI
1. SOME LEMNADE FOR YOU
LINK - Some lemonade for you madame!
Nilipomaliza nikanogeeewaaaa nikaandika nyingine hii hapaa
My cup runeth over ~ Na Kikombe changu kinafurika
Nikapumuaaaa baadae nikaskia kuandika stori nyingine ya 3 nikaiandika hii hapaa
Love melted before my eyes
Happy Birthday Money Penny ~ March 8th Baby!
Nikaja kuvuta kwanza pumzi nikaja kurudi na stori hii mwezi April
Story: Side Chic & Main Chic ~ A Forever Battle
Nikapumua tena nikaja nikateremusha classic story inaitwa
Story: On My High Horses ...
na ni hii STORY: FUMANIZI LA UKUBWANI
Kuna hii Stori: Jinsi ya Kumtongoza Mwanamke
Unaikosaje hii sasa ya Story: Bora Mchaga Mwizi Kuliko Mpare Bahili....
Na huku STORY: KUTEGA - SEDUCTION
unaikosaje sasa hii STORY: KARIAKOO...
Story: Mahusiano...
Story: Kwanini Upo Single?!
STORY: MTU CHAKE! - JamiiForums
Nasema ukweli mpenz wa Mungu me sijasomea kuandika stori, kabisaaa... wala english sijui literature akuuuu! Huko sipo kabisaa!
Ila ni Mungu tu ananisaidia naweza nikakaa nikachukua microsoft word page nikaanza kuandika then kila kitu kinakujaaaa non stop mpaka stori inaisha ndani ya siku 3 naandika page 100, kwa siku masaa 8 mpaka 10 zlstori zinakuja tu kichwani
Of course me mtu wa watu kwahiyo zingine zinakuwa za maisha ya watu ambao labda wengine wameshakufaga, wengine wazeee wa miaka 70, wengine watu wazima miaka 45-59, wengine marafiki wengine ndugu wengine jamaa wengine classmates wengine office colligues basi tu ukiishi na watu vizuri maishani inalipa sana
Money Penny ni cha utunduuu, sio utundu wenu ule wa dyu dyu na chiu hapanaaa... mimi ni mtunduuuu tuuu, elewa tu mimi ni mtunduuuuu kwani wewe haujawahi kuishi wa watoto watunduuu,utundu tu wa kawaida wa maisha ya kila siku
Yani tunaweza kukaaa hapa tunaongea mimi nikajiongeza nikawa extra ukashangaa ivi money penny unawazaga nini lakini wewe?! Ndivyo nilivyooo
Afu nina vitukoooo balaaa, naweza kukuchekesha hapa mimi nikauchunaaaa wewe unakufa mbavu alafu najikaushaaa watu wakabaki wanaakushangaa huyu mtu vepee kucheka cheka, huku stering nimeuaaaa!
Kama sijakuzoeaaa utasema huyu dada mpoooooleeee jamaaaan mpooooleeee duuuu hata kumtongoza naogopa kuumbeee!
Money Penny napenda mzikii akyanani me sio mlevi wa pombe ni mlevi wa music, good music yani me schagui, bolingo, R&B, Hip Hop, Rumba, Classic, Old School, New School, Raggae kwa mbaaali, Pop, Gospel ndio usiseme imelala hapaaa
Ulevi wangu mwengine ni Movies and Series, yani mimi ni movie person, tangu nina miaka 3 ni mtu wa tv mpaka sasa ni movies tuuuu miziki tuuuu sa hivi tena kuna series cravings ndo kabisaaa yani naweza shinda ndani nikaangalia series the whole weekend
Nilikuwa napenda sana kusoma novels lakini walivyoleta movies kha waliniharibujeee jaman me na movies utakuwa rafkianguuu!
Am a this cool kind hearted Chica, looooud Chica mambo ya kuwa dry dry ukikaa na mimi utachangamka tuu!
Hakuna aliewahi kukaa na mimi akaborekaaa am sorry to say this am a looooud chic, full of life chic, extra chic, beautiful and gorgeous Chica
Money Penny ni half cast wa kichaga, nusu Mchaga nusu kuleee Singida moujaaaa ....Kwenye upande wa Mauno na mambo ya kitandani utanisubiria miaka 8000 na kutafuta pesa ndio mwenyewe sasa, sinaga kinyaa na Pesaaaa, kama hauamini angusha pesa hapo chini uone
Stori ndogo ndogo nilizoandika kama Money Penny zile zinaitwa changamsha ubongo ni:
Mjukuu wangu ametoa kitabu karibuni mtusapoti kwa wale wenye mapenzi mema - JamiiForums
Msaada tutani nahitaji suluhu hapa
Msaada wa haraka please, mke wa mtu anakufa hukuu
Msaada tutani: Dogo kamzimia 'Shuga Mami'
Msaada Wenu Plz: Moonlight Lady
Msaada wa haraka: Kaka wa kwenye foleni
Msaada wa fasta: Urasimu na maendeleo
Msaada tutani: Je mziki ni ndoa mpya?
Msaada wenu: Urafiki na watoto wa kiume
Msaada tutani: Black beauty is gone
Msaada wa kung'amua fumbo hili
Msaada mzuri: Kwenu mliozaliwa March
Msaada wa haraka please, mke wa mtu anakufa hukuu
Msaada hapa wapendwa; Ananipa kila kitu lakini ana kibamia
Msaada tutani: Mwanaume bora tu achepuke
Msaada tutani: Mzee alienipenda
Msaada tutani: Nimpe au nisimpe?!
Msaada wako: Dating life!
Msaada tutani: My Body Guard
Msaada tutani: Kubakwa kisaikolojia
Mapenzi ya udicteta
What you see is what you get!
Msaada tutani: Waoga!
Msaada tutani: Hali ya hewa
Msaada tutani: Bafu langu!
Shule imemshinda anatafuta 'sponsor'!
What you see is what you get!
Je, Bikra yako ulitoa ukiwa na umri gani na ukiwa wapi na nani alikutoa?
A friend without Benefit
Msaada tutani, ninanuka
Toxic Bachelors!
Wanaume Mungu anawaona!!
40 smthng Men Vs. 25-30 smthng Men
Je, mapenzi ya kweli hamnaga siku hizi?
Je, mapenzi ya kweli hamnaga siku hizi?
Akili za wanaume wanazijua wenyewe
Ogopa wanaume matapeli
Kwanini mapenzi yanakuwa magumu..
Ana Dudu Ndogo kama Remote ya DSTV, Nifanyaje?!
Hellow, Soul Mate Uko huku JF Au?! ...
What's your Faaaantaaasy?!...
Preety Boys na Ugly ones... Nani Zaidi?!
Mapenzi ya Porn huharibu mapenzi ya kweli
Ladies, hii ndio njia ya kuolewa fastaa
Wanaume Madomo Zege Bado Wapo?!
Bongo Bahati Mbaya tu~ Karibu Ulaya tu!
WANAUME MTAENDELEA KULOGWA MSIPOACHA HAYA ....
Mwanaume ajifungua mtoto nchini Marekani...
Wapenzi wasikilizaji na wapenzi watazamaji....
Wanawake wa Karen ya 21 Mungu Anawaona. ..
Msaada: Anataka kuolewa na kupata watoto ila hana bwana
Msaada: Nanilihii yake Imelala ndani ghaflaaa...
Ushauri: Aliomba MACHINE kwa Mungu, alipopewa akaikimbia...
SWALI: JE WEWE NI KIBONGE, SOMA INAKUHUSU...
SWALI: NANI ULIMPENDA ZAIDI NA HAUTAMSAHAU MAISHANI MWAKO...
SWALI: YUPI UNAMTHAMINI ZAIDI.. MWANAO (FAMILIA) QU MCHEPUKOO?!
SWALI: KOSA LANGU NI NINI SASA?!
Matukio yaliyokiki 2017 kwa Ufupi
USHAURI: KWENU KINA DADA WENYE UMRI 31 - 50...
USHAURI: UKIMTUKANA MTU SASA HIVI JELA MIEZI 6...
Wanaume nyie kwanini hamtaji jina la muhusika wakati wa Kufanya mapenzi?
SWALI: KIPI UNGEBADILI KWA MPENZI WAKO?...
Ushauri: Wanaume na ulimbukeni wa michezo ya 'tigo'
Michezo ya kupasua kondomu katikati ya tendo
Ushauri: Wavaa vimini na wanyoa viduku
Ushauri: Mnapotula mkumbuke kutupa sabuni ya kuoga
USHAURI: Wanaume wanatafutaga TOBO sio MAVAZI
Je, ni kweli saizi ya sehemu za siri za kike huendana na saizi ya mdomo?
Ushauri: Valentine Spesho
Mange Kimambi... Diamond Platinumz. ..Ali Kiba...
Swali: Diamond Platnumz na Wema wanafanya nini mjini jamani?..
Ushauri: Money Penny Kapendwa
USHAURI: Wanaume mnapochagua wanawake
REDIO NA TV HAMNA KUPIGA MIZIKI IFUATAYO!
Mpenzi wangu ni babu wa miaka 65 hanitoshelezi, nifanyaje?
SWALI: Nani ni Malkia wa Nguvu kwako huku JF?!
NIMEMALIZA KUANGALIA BONGO MOVIE...
swali: kwani lazima Upendwe?!
Mume Wangu aki-cheat Nafurahi Sana...
SWALI: MATUMIZI YA CONDOM KWAKO YAPOJE?...
Ulipomfumania Mke/ Mume/ Mpenzi wako Ulichukua hata gani?!
Ushauri: Tatizo sio Kibamia kama anajua kukitumiaa. ..
Kipenda roho hula nyama mbichi...
Happy birthday to malkia wa nguvu Money Penny
Swali: ahadi gani mlipeana vitandani mlishawahi kutimiziana?!
Ushauri: Matumizi ya Vidole katika tendo la ndoa yatumike vizuri..
Swali: Hivi Mabikra wanapataga Genye(hamu ya kufanya mapenzi?!)?!
Mnapopeana raha tumieni sauti ndogo, mnatukera majirani
Ushauri: Kama mumeo "ha-cheat" ni bora unyamaze kimya na umshukuru Mungu..
Ushauri: Dada zetu wa kilokole legezeni masharti muolewe
Swali: Nimempenda Binti wa Kilokole lkn hanitaki, nitampataje? !...
90 Days Rule Bado Inatumika kwenye Mahusiano?!
Nikiwa "Maarufu - Celebrity" Nitafanya yafuatayo:
Money Penny unaonekana unajua mapenzi sana, alafu mtamu na you are such a nice Girl...
Swali: Eti Kujipiga Punyeto ni Dhambi?!
Nampenda Mtumishi wa Mungu Mwalimu Christopher Mwakasege...
Swali: Je ukikosa kufanya mapenzi unachanganyikiwa?!
Ushauri: Bora uwe na mpenzi mtalaka kuliko mjane
Wangapi wanawajua wanamziki "MAKOMA"?!
Kwanini wanawake wenye Wowowo kubwa Huolewa na Wanaume Wembamba?!
SWALI: ULISHAWAHI KUWA NA MPENZI KICHAA?! ULIMWEPUKAJE?
Tahadhali: Ukinipenda Utakufa!..
News Alert: - Kwenu Wadada: Msikubali Kufanyiwa Hivi..
News Alert: - Ushauri: Wanaume husimama, Wanawake hukaa...
Tangazo: Style ya Mbwa inaleta Kansa na Presha!..
SWALI: Nani ni Mtamu Zaidi ya Mwenzake?!
Royal wedding: Tuna cha kujifunza kwenye mahusiano/ndoa hii
Ushauri: mtu anaetaka kufanikiwa aachane na "Mapenzi" ajali maisha yake!
News Alert: - Swali: Je Mapenzi, Umalaya, Utapeli, Uchawi ni moja ya Viwonder au Viwanda?!
Gigi Money na Mo Junior waendeleze penzi lao
Ushauri: Ukiwa na pesa, kumegewa ni siri ya ndani
Ushauri: Wadada acheni kuwaambia Wanaume wana vibamia!
SWALI: Hivi huyu Mrisho Mpoto ndio nani?!
Johari hongera kwa kupata bwana wa Kizungu
Ushauri kwa wanaume mnaofuga madevu!
Wapenzi wa 'garden love' nyoosha kidole juu
Mzee wa Upako anasema kuwa Maskini ni Ufala!
MHESHIMIWA RAISI NAOMBA UNICHAGUE NA MIMI BASI ...SINA AJIRA MWAKA WA 6 SASA
Mwanamke gani ungependa umuoe?
Mwanamziki Ruby Karibu tena kwenye Game...
Mzee wa Upako awaonya Alikiba na Diamond Platnumz waache Uzinzi...
You don't know what is like, to Love Somebody the way I Love You...
Hivi Jux utamuoa kweli mtoto wa Kipare Vanessa au?!
Bia Zangu Umekunywa, Chakula Umekula, Pesa Zangu Umechukua nauli nauliza Utatoa Utoi?!
Sex and the City ~ Movie na Series, nani anazikumbuka?!
Mibangi ya Wolper - JamiiForums
Mwafrica Aliemwokoa Mtoto wa Kizungu na kupewa Uraia na Ajira Nchini Ufaransa
News Alert: - Naskia Lulu anaolewa
Ushauri: Huduma ya Maji Taka (Mombasa Classic Baby!) iondolewe kwenye Jamii! - JamiiForums
Ushauri: Mpaka Tuoane Ndio Natoa skin-taiti.... - JamiiForums
Ushauri: Style ya Mombasa sio Doggy Style - JamiiForums
SWALI: Alisema amempendea Machine Mbona Kakubali kuwa Mke wa 2?! - JamiiForums
Ushauri: Wadada na Kuji-sexisha! - JamiiForums
Ushauri: Mume wa mtu ni mume wa mtu; keep out! - JamiiForums
WEMA SEPETU ANATAFUTA MWANAUME WA KUMUOA - JamiiForums
Ushauri: Tunaomba Risiti (Evidence - Vithibitishi) vya Mwanamke Ulietembea nae ukamuacha... - JamiiForums
Love is a Beautiful Thing! - JamiiForums
SWALI: Kwa Umri Ulionao Ulishatembea na Wanaume / Wanawake Wangapi? - JamiiForums
Swali: Jamani Danga ni Nani?! - JamiiForums
ASLAY KUWA NA SHOO YA WATU 100.. SABABU NI NINI? - JamiiForums
Natamani Ma-Celebrity wa Bongo wangekuwa kama Ma-Celebrity wa Nigeria - JamiiForums
Swali: Mwanaume Akijikuna Sehemu za Siri ina maana gani? - JamiiForums
Njia mbaya ya kuomba Unyumba ~ Kichwa Classic Baby! - JamiiForums
Swali: Mwanaume Akijikuna Sehemu za Siri ina maana gani? - JamiiForums
Nimetembea na wanawake 74, ndoa yangu ikiwa na miaka 5 tu - JamiiForums
Kunyonya Maziwa Huponyesha Kansa ya Matiti - JamiiForums
Ushauri: Vijana Msikimbilie Michezo ya Wakubwa! - JamiiForums
NETFLIX Yanunua Movie ya Kinigeria iitwayo Lion-Heart, Bongo movie lini itanunuliwa?! - JamiiForums
Bora Nibakie Kuwa Bikra Kuliko kuzaa na Mume wa Mtu... - JamiiForums
USHAURI: Ukimfumania Mpenzi wako Fanya haya... - JamiiForums
Kumbe Mbwa nao wanalambana?! - JamiiForums
Hongera Mdogowangu Wema Sepetu kwa Kufungua Duka - JamiiForums
Ukiguswa wapi hamu zako zinapanda haraka?! - JamiiForums
USHAURI: Ukimfumania Mpenzi wako Fanya haya... - JamiiForums
Kiwanda Changu Cha Mapenzi Kinafungiwa! - JamiiForums
Tz sweetheart ni nani? - JamiiForums
Unbreak my Heart, Say You Love ME Again... - JamiiForums
Swali: Je Unajua Kukatika Kitandani?! - JamiiForums
Shoo za Mapenzi za Kihuni - JamiiForums
Happy birthday retrospectively Wema Sepetu - JamiiForums
Mapenzi yangu kwa Shaba Ranks... - JamiiForums
Nimeokoka nampenda sana Yesu, Yesu ni kila kitu kwangu ila mimi sio mlokole mbululas!
Sasa usianze oooh mbona Penny unaandika hadithi kama wenye dhambi za dyu dyu na Chiu hauoni kuwa ni dhambi unamchukiza Mungu?...
Kwani Yesu alivyokuja alikaa na nani? si akina sisi wenye Dhambi! na akaonyesha upendo, au?
Mxiiiiuuuu tatizo lako ndio hilo umekremu sana ulokole unatakiwa uwe hivi na sio vile anafanyanga Money Penny... ohoooo ushafeli nduguuu... kila mtu na Talanta yake Mwisho wa zote napeleka mrejesho kwa Mkuu..
Nasali Lutheran Azania Front Church Posta Mpya! KARIBUNIII
Umri wangu wa nini labda?! Kama napokea dyu dyu na kutoa chiu mimi si mkubwa jamaa
Was nice meeting you guys wa JF nashukuru kwa support yenu kubwa sana Mungu Awabarikii
Next story: Hii hii inaendelea
DATE: 2nd JANUARY 2018
TIME: 5 ASUBUHI TZ.
[MEDIA=youtube]PEGccV-NOm8[/MEDIA]