SAUL BERENSON
Senior Member
- Jan 31, 2017
- 150
- 154
What do you think about the coming Vodacom IPO, watu wanatengeneza quick money kama ilivyokuwa SWALA na DSE hapa juzi katiTupeane tips za shares on what to buy what to sell and what to hold.
Na hapa nazungumzia sharws za ndani na za nje ya nchi
Let it begin...
Tz kwa sasa ni buyers market lakini telco isn't sustainable kwenye zama hizi za whatsapp na free dataWhat do you think about the coming Vodacom IPO, watu wanatengeneza quick money kama ilivyokuwa SWALA na DSE hapa juzi kati
Dividends ulilipwa after how long?Dah!! Mkuu usinikumbushe Ile ya DSE nili invest Mil 20 kene Primary market kwa kubreak kwenye Mil Tano Tano(nilifanya hvi kukwepa panga la kene prorata), bei ilikua sh 500 per share.
Kene secondary market the first week ikashoot hadi 1000, nikapata faida ya Mil 20, ukitoa brokage fee nkabaki na kama Mil 19 na kitu.
Nilivyo uza tu zikapanda tena hadi 1500,
Na Uanaume wangu nilitoa mchozi ckuile nlivyogundua. Yani kama ningebaki nazo nlikua napata faida ya mil 40.
Ila pia namshukuru mungu coz hio mil 19 nimeanzisha duka na kumalizia lodge yangu.
Money makes money, and the money that money makes...makes more money.
Mkuu ckulipwa dividends, mimi nilinunua kene Primary Market(wakati wa IPO) afu nikauza kene secondary Market.kilikua kipindi kama cha miezi minne tu toka kununua hadi kuuza.Dividends ni mpaka ukae nazo mwaka mzima.nadhan utakua umenielewa.Dividends ulilipwa after how long?
Hiyo primary market ni kama wanavyouza vodacom hivi sasa?Dah!! Mkuu usinikumbushe Ile ya DSE nili invest Mil 20 kene Primary market kwa kubreak kwenye Mil Tano Tano(nilifanya hvi kukwepa panga la kene prorata), bei ilikua sh 500 per share.
Kene secondary market the first week ikashoot hadi 1000, nikapata faida ya Mil 20, ukitoa brokage fee nkabaki na kama Mil 19 na kitu.
Nilivyo uza tu zikapanda tena hadi 1500,
Na Uanaume wangu nilitoa mchozi ckuile nlivyogundua. Yani kama ningebaki nazo nlikua napata faida ya mil 40.
Ila pia namshukuru mungu coz hio mil 19 nimeanzisha duka na kumalizia lodge yangu.
Money makes money, and the money that money makes...makes more money.
Yeah boss, sema asahv uchumi uko hovyohovyo sana...kua makini na hzo hisa za vodacom, kule kenya SAFARI com ambao ni washirika wa vodacom walilist kule NSE(Nairobi Stock Exchange) bei ikashuka so ikala kwa watu.So kua makini.Hiyo primary market ni kama wanavyouza vodacom hivi sasa?
Kuna risk afu kuna calculated risk..Take calculated risk.Kwahiyo unanishauri vipi kuhusu hizo hisa za 850 za voda, ninunue kwa mtindo gani au nivunge
Kaka kwanini financial statements za Vodacom hazipatikani publicK
Kuna risk afu kuna calculated risk..Take calculated risk.
Hizi za voda mauzo ni wiki sita, ndo kwanza ziko wiki ya kwanza.Kwasasahv siwezi nikakushauri ununue au usinununue coz bado ni mapema sana ndo kwanza zimeanza kuuzwa, nakuomba kua na subira nikumbushe ile wiki ya mwisho, nitakupa jibu kamili.wiki ya mwisho hua ndio wiki ya kufanya maamuzi.
Powa mkuuK

Vodacom hawawezi kufulia na hawajafulia....mkuu hawa voda wapo kweli au ni kama precision air walivoona wamefulia wakaja kutafuta mtaji kwa public?
na mimi nasubiri mkuu ila mbona nasikia mwisho ni tarehe 19 kuuza hizo hisaK
Kuna risk afu kuna calculated risk..Take calculated risk.
Hizi za voda mauzo ni wiki sita, ndo kwanza ziko wiki ya kwanza.Kwasasahv siwezi nikakushauri ununue au usinununue coz bado ni mapema sana ndo kwanza zimeanza kuuzwa, nakuomba kua na subira nikumbushe ile wiki ya mwisho, nitakupa jibu kamili.wiki ya mwisho hua ndio wiki ya kufanya maamuzi.
no ni sustainable tu, kwasababu tz watu wengi hutumia internet itolewayo na mitandao ya simu, so telecoms are still lucrativeTz kwa sasa ni buyers market lakini telco isn't sustainable kwenye zama hizi za whatsapp na free data
Zipo ndugu prospectus hiyo hapo tena ya kiswahili...nimeshajilipua tuhisa 2000 tu nione upepo utaendaje am sure zitapanda,jaribu aisi ili u succeed huna budi kubeba uncertaintiesKaka kwanini financial statements za Vodacom hazipatikani public