Pre GE2025 DSM Steve Nyerere kupitia taasisi ya Mama ongea na mwanao wametoa msaada wa 'Kiti cha mama'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

the guardian 17

JF-Expert Member
Aug 15, 2024
591
869
Hii kila kitu kuwa cha mama, kuitwa cha mama na kukihusianisha na mama imekuwa kero sasa, ukipita barabarani magari yameandikwa SSH 2025 kuta zimechorwa chata hiyo hiyo nk. Sasa hatimaye wamekuja na 'kiti cha mama' kwa ajili ya kuwasaidia walemavu na wameviweka na picha ya Rais Samia, hii ni kero sasa

Hata kama ni kutafuta teuzi asee wapunguze hii speed
===
Steve Mangele (Nyere) kupitia taasisi yake ya mama ongea na mwanao wakishirikiana na jembe ni jembe Foundation wametoa msaada wa viti vya magurudumu kwa ajili ya watu wenye ulemavu.

Steve alikabiddhi msaada huo mbele ya Dkt Emannuel nchimbi ambapo amesema pia, kuwa wana jumla ya viti 1,500 ambavyo watavisambaza nchi nzima. Tukio hilo lilitokea siku ya mtoko wa pasaka tarehe 20/04/2025.
 
Back
Top Bottom