Stellebosch ni kama Azam iliyochangamka.timu haina mashabiki kwao,wabongo walioko huko wanatosha kuifanya Simba ijisikie iko nyumbani

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
21,667
53,811
Pamoja na mambo mengine kinachoikwamisha Azam ni kukosa mashabiki.

Stella wakiwa ugenini ni wakali kuliko kwao
Kule kwao hawana mashabiki kabisa kama Azam

Simba itakuwa kama iko kwa Mkapa tu.

Mchawi wetu atakuwa VAR,tusiruhusu goli hata la offside,wala kugongana na hao wazulu koko kAribu na goli,tusiruhusu kona wala mipira ya kurusha karibu na goli,na tufunge magoli ya mbali yasiyo na utata
 
Ni kweli hawana mashabiki lakini msije mkafanya kosa la ku wa beza kwakua ata timu yenu haikustahili kufika apo isipokua ni ulozi ndio ulio wa beba.

Kwakua uchawi auvuki maji, mlipo badiliahiwa tu uwanja mnapata shida ya kufunga magoli mengi.

Ao wa south na nyinyi uwezo mnalingana mlipata Goli la home advantage, Timu yao Ina pumzi kuliko yenu kuweni makini.
 
Mchawi wetu atakuwa VAR,tusiruhusu goli hata la offside,wala kugongana na hao wazulu koko na tufunge magoli ya mbali yasiyo na utata
Mkuu umetoa bonge la ushauri. Ni kweli kabisa, Simba ijihadhari sana na faulo za ndani ya box, faulo zinazoweza kuzaa kadi na pia wajaribu kufunga magoli ambayo hayataleta ukakasi hata kama ni ndani ya box.

Waendelee pia kutowapa kona na mipira ya kurushwa karibu na lango.

Muhimu kuliko yote, washirikiane kitimu katika safu zote.
 
Kuna kajamaa kanarusha mpira utafikiri kona
 
Ila Simba ilishamjua kabla hata ya mchezo. Nilimsikia jamaa mmoja yupo SA alilisema hilo.

Walipoona Simba ilishamuwekea mpango mkakati nakumbuka kama waliacha kuitegemea hiyo mipira ya kurusha, akawa anarusha jamaa mwingine au wanarusha mipira mifupi.
 
Ni kweli hawana mashabiki lakini msije mkafanya kosa la ku wa beza kwakua ata timu yenu haikustahili kufika apo isipokua ni ulozi ndio ulio wa beba.

Kwakua uchawi auvuki maji, mlipo badiliahiwa tu uwanja mnapata shida ya kufunga magoli mengi.

Ao wa south na nyinyi uwezo mnalingana mlipata Goli la home advantage, Timu yao Ina pumzi kuliko yenu kuweni makini.
Unajua kumtukana mtu sio vizuri ila wewe unaonekana unapenda kitukanwa
 
Pamoja na mambo mengine kinachoikwamisha Azam ni kukosa mashabiki.

Stella wakiwa ugenini ni wakali kuliko kwao
Kule kwao hawana mashabiki kabisa kama Azam

Simba itakuwa kama iko kwa Mkapa tu.

Mchawi wetu atakuwa VAR,tusiruhusu goli hata la offside,wala kugongana na hao wazulu koko kAribu na goli,tusiruhusu kona wala mipira ya kurusha karibu na goli,na tufunge magoli ya mbali yasiyo na utata
Kumbee mara zote unapofungwa ni kwasababu huna mashabiki
 
Kama Azam ni lini Azam walicheza nusu fainali shirikisho au CL
Ndio maana akasema "Azam iliyochangamka" elewa kwanza kabla ya kujibu, kule timu kubwa zenye mashabiki wengi ni Orlando Pirates na Kaizer Chiefs hizo ndio kama Simba na Yanga kwa bongo, hata Mamelodi Sundowns yenyewe imeanza kupata mashabiki hivi karibuni baada ya kuwa na uwakilishi mzuri kimataifa.. ila na yenyewe ilikuwa haina tofauti na Azam tu!!
 
Quality.
Quality.
Quality.

Ubora wa wachezaji ndio unaoweza kukufanya ushinde Popote pale.
Haijalishi uwe nyumbani ama Ugenini.

Kale katimu ni kadogo mno, ni katimu ka mwaka 2016 hakana tofauti na Fountain gate au Ken gold.

Unaionea Azam kuifananisha na katimu kama kale.

Shida ni QUALITY YA THIMBA.

NI LINI AKILI ZITAAMKA?????
 
Ndio maana akasema "Azam iliyochangamka" elewa kwanza kabla ya kujibu, kule timu kubwa zenye mashabiki wengi ni Orlando Pirates na Kaizer Chiefs hizo ndio kama Simba na Yanga kwa bongo, hata Mamelodi Sundowns yenyewe imeanza kupata mashabiki hivi karibuni baada ya kuwa na uwakilishi mzuri kimataifa.. ila na yenyewe ilikuwa haina tofauti na Azam tu!!
Mashabiki wanacheza number ngapi? Pyramid ina mashabiki gani?
 
Kama wachezaji wenyewe wanakiri mashabiki ni moja ya vichocheo vya ushindi wa timu wewe unabisha kama nani, au kisa timu lako lilishindwa kupata walau goli moja tu la kuwavusha robo fainali huku uwanja ukiwa full house ndio maana huoni mchango wa mashabiki, ilaumu timu yako kwa kuwa mbovu usisingizie eti mashabiki wanacheza namba ngapi mashabiki ni moja ya nguzo muhimu za mafanikio ya timu popote pale
 
Back
Top Bottom