Startimes kwa hapa nchini inamilikiwa na wabia wawili tu. Wabia hao ni kampuni ya kigeni kutoka China iitwayo "Star Communication Networks Technology Company Ltd" ( 65%) na (TBC)Tanzania Broadcasting Corporation (35%) ya hapa nchini.

Mkuu asante hata mimi ambaye sio niliyeuliza nimeelimika. Naomba kujua kuhusu TBC2. Mbona inapatikana kwenye king'amuzi cha Star times pekee? Na hiyo channel sio free. Tatizo nini wakati hii ni local channel?