rusesa JF-Expert Member Jun 1, 2013 538 233 Apr 3, 2016 #1 Azam mimi wamenishinda kabisa. wanakata local channel zote isipo kuwa tbc tu. Sasa nauliza hawa star times wana channel za michezo zinazoonesha mechi za ulaya na uingereza? Na je hawa star times wana rusha live kama mechi inachezwa taifa? Star times wana local channel kibao, vipi kwa hayo mengineyo? nishaurini nataka niachane na huu upuuzi wa azam kwa kweli. Ombi. azamu fungueni uzi wenu humu mjibu hoja zetu. Nawasilisha.
Azam mimi wamenishinda kabisa. wanakata local channel zote isipo kuwa tbc tu. Sasa nauliza hawa star times wana channel za michezo zinazoonesha mechi za ulaya na uingereza? Na je hawa star times wana rusha live kama mechi inachezwa taifa? Star times wana local channel kibao, vipi kwa hayo mengineyo? nishaurini nataka niachane na huu upuuzi wa azam kwa kweli. Ombi. azamu fungueni uzi wenu humu mjibu hoja zetu. Nawasilisha.
M MikeSpec Member Feb 8, 2016 94 8 Apr 3, 2016 #2 Hiyo ni nzuri ya kusoma http://s07.jamiiforums.com/mini/uyE8/bg_000000/txt_000000/border_000000/flags_0/ http://s09.jamiiforums.com/mini/h96A/bg_000000/txt_000000/border_000000/flags_0/
Hiyo ni nzuri ya kusoma http://s07.jamiiforums.com/mini/uyE8/bg_000000/txt_000000/border_000000/flags_0/ http://s09.jamiiforums.com/mini/h96A/bg_000000/txt_000000/border_000000/flags_0/
rusesa JF-Expert Member Jun 1, 2013 538 233 Apr 3, 2016 Thread starter #3 MikeSpec said: Hiyo ni nzuri ya kusoma http://s07.jamiiforums.com/mini/uyE8/bg_000000/txt_000000/border_000000/flags_0/ http://s09.jamiiforums.com/mini/h96A/bg_000000/txt_000000/border_000000/flags_0/ Click to expand... sijakuelewa kabisaaa
MikeSpec said: Hiyo ni nzuri ya kusoma http://s07.jamiiforums.com/mini/uyE8/bg_000000/txt_000000/border_000000/flags_0/ http://s09.jamiiforums.com/mini/h96A/bg_000000/txt_000000/border_000000/flags_0/ Click to expand... sijakuelewa kabisaaa
Ngisibara JF-Expert Member Jan 2, 2009 3,384 2,241 Apr 3, 2016 #4 Kama una dish basi Startimes hutapata local channel ila kwa anttena utapata local zote au ikapungua moja, kuhusu mpira wanaonyesha lakini wapo selective, kama unapenda mipira aina zote basi chukua DSTV Premium package
Kama una dish basi Startimes hutapata local channel ila kwa anttena utapata local zote au ikapungua moja, kuhusu mpira wanaonyesha lakini wapo selective, kama unapenda mipira aina zote basi chukua DSTV Premium package