Valencia_UPV

JF-Expert Member
Mar 31, 2016
7,072
8,882
Kwa mujibu wa Sheria-Political Service Retirement Benefits ya 2020. Waziri Mkuu Mstaafu anapata stahiki zifuatazo,

**Mbali na pensheni na gratuity baada Tu ya kuachia ofisi.

Mengineyo
1. Mshahara (80% ya Mshahara wa Waziri Mkuu aliyepo madarakani),
2. Ulinzi (mpaka kifo),
3. Gari na dereva (SUV),
4. Diplomatic passport,
5. Matibabu nje ya nchi,
6.
 
Attachments

  • tz-act-1999-3-publication-document.pdf
    509.9 KB · Views: 2
Kwa mujibu wa Sheria-Political Service Retirement Benefits ya 2020. Waziri Mkuu Mstaafu anapata stahiki zifuatazo,

**Mbali na pensheni na gratuity baada Tu ya kuachia ofisi.

Mengineyo
1. Mshahara (80% ya Mshahara wa Waziri Mkuu aliyepo madarakani),
2. Ulinzi (mpaka kifo),
3. Gari na dereva (SUV),
4. Diplomatic passport,
5. Matibabu nje ya nchi,
6.
Hakika wanastahili watumishi wetu hao....

Mzigo waubebao ni mzito mno....

Uzalendo wetu kwao ni kuendelea kuwahudumia kama hivyo ilivyoainishwa!!

#Viongozi wetu ni TUNU yetu watanzania !
 
Na wakati huo huo mtumishi aliyestaafu baada ya utumishi wa miaka 40 analipwa na hazina sh 110,000 kwa mwezi - AIBU!!
 
Biteko naye achangamke hicho cheo kiainishiwe stahiki zake kisheria kama hivi kabla hayajajirudia ya Lyatonga!
 
Hakika wanastahili watumishi wetu hao....

Mzigo waubebao ni mzito mno....

Uzalendo wetu kwao ni kuendelea kuwahudumia kama hivyo ilivyoainishwa!!

#Viongozi wetu ni TUNU yetu watanzania !
KWenye vyeti vyako sidhani kama unakosa BACHELOR OF ARTS IN CRITICISING AND HYPROCRISY
 
Kwa mujibu wa Sheria-Political Service Retirement Benefits ya 2020. Waziri Mkuu Mstaafu anapata stahiki zifuatazo,

**Mbali na pensheni na gratuity baada Tu ya kuachia ofisi.

Mengineyo
1. Mshahara (80% ya Mshahara wa Waziri Mkuu aliyepo madarakani),
2. Ulinzi (mpaka kifo),
3. Gari na dereva (SUV),
4. Diplomatic passport,
5. Matibabu nje ya nchi,
6.
Kwani kuna mtu ana staafu
 
Back
Top Bottom