Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 1,447
- 3,760
Ni usumbufu wa aina gani mkuu ulikutana nao?I can confirm this.
Waliwahi nipeleka home sema kazi inakua rahisi kama wako na mkubwa (boss) wao ila wakiwa wenyewe wanakusumbua.
Walikufanya nini mkuu?, kila uzi unaohusu polisi unacomment hiviPolisi walionidhalilisha Tunduma mwaka 2015 na kunipora pesa..
It's a long story my dear brother..Walikufanya nini mkuu?, kila uzi unaohusu polisi unacomment hivi
Sijui kama utafika na wallet yako.Wakuu
Ukilewa na huna usafiri waombe jeshi la polisi wakupeleke home chap π
==
Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Kinondoni (RTO), SSP Solomon Mwangamilo, amewashauri wananchi wanaojikuta wamelewa kupita kiasi na hawana usafiri wa kuwaomba msaada Jeshi la Polisi wakiwa katika hali hiyo.
"Kama ukalewa uko chakali, na ukapepesuka, ukashindwa kufika nyumbani ukiwa unatembea kwa miguu sisi kama jeshi la polisi kazi yetu ni kulinda raia na mali zao, tutakuchukua, kama unaweza kujieleza utatuambia unakaa mtaa fulani tutakufikisha kwasababu wewe sio mhalifu"
View attachment 3180111
Kumbe wanatafuta watu wa kuwaibia hii sikukuu!Du nijiiseemeee mimi mmwenyewe sintojaribuu waliwah kunikutaa nimeleewa pale kitangiri mwanza wakatubeba msobemsoobe wakatusachi. Tulizobakiza ksha wakatushusha nera hatuna kitu ilatukashukuru hawakutulaza. Nndan
π π Makinikaa mkuuKumbe wanatafuta watu wa kuwaibia hii sikukuu!