barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,375
- 29,732
Azam TV Ni Jipu Lililoiva Na Nikurekibishe Tu Sports Xtra Ilikuwa Zamani Siku Hizi Utani Na Soga Vimezidi.Habari zenu!
Katika Tv hasa upande wa michezo hususani soka, Clouds Tv kupitia Sports bar na Sports Xtra, wanajitahidi sana!
Hawa jamaa HAWASUBIRI kuletea habari na BBC au chaneli za mbele, huwa wanaenda kwenye matukio.
Kombe la dunia walienda Brazil, huwa wanaenda wao wenyewe kwenye matukio. Uchaguzi wa FIFA pia walienda!
Kipindi cha leo nimependa documentary ya Mbwana Samatta huko Ubelgiji.
Tv zingine muige, hasa mnaodai mmeleta mapinduzi, Azam Tv, kitu Azam mnamiss ni ubunifu na materials ya kutangaza! Vifaa mnavyo!
Mifano yote man u, arsenal, barca utafikiri ni radio station ya Uingereza vile.Azam TV Ni Jipu Lililoiva Na Nikurekibishe Tu Sports Xtra Ilikuwa Zamani Siku Hizi Utani Na Soga Vimezidi.
Wabongo hatukosagi maneno... Sasa ulitaka akamhoji ulimwengu au ngasa kwa lipi haswa?!! Lazima kuwe na jambo la maana ili kumtengenezea documentary mtu husika, kwasasa hakuna asiemjua popa Africa coz ndo mchezaji bora Africa, sasa ebu nambie ngasa ndo mdudu gani kwasasa?! Ngasa alipewa publicity ya kutosha kipind anawika mpaka akiwa kwenye majaribio West ham shafii huyu huyu ndo alikuwa anamfatilia na kutupa update zake au umesahau?shaffih dauda n mganga njaa na nimojawapo ya watu wanaotuharibia soka nchini hivi aliwahi kwenda tp mazembe kumhoji Thom ulimwengu, kwa ngasa South Africa ?
manu 0 Liverpoolfc 2. haaa Europa League 2016/2017Subiri man u afungwe sport bar husiki tena akifungwa arsenal,chelsea or utajua tu kua sport bar ipo
Subiri man u afungwe sport bar husiki tena akifungwa arsenal,chelsea or utajua tu kua sport bar ipo
Kivipi mkuu?Subiri man u afungwe sport bar husiki tena akifungwa arsenal,chelsea or utajua tu kua sport bar ipo
Sportsbar sio tu ni journalists bali wajasiariamali
watoto wa mjini
kila wanachoenda kukifanya ujue wama maslahi nacho
Samatta wana mgao wao...wao ndio publicity wake...
wanafanya kazi ya kumtangaza
umewahi jiuliza why hujawahi ona chochote kumhusu
Thomas Ulimwengu?...