Kwahiyo wewe unatetea maneno ya Ndugai so what is the difference between you and me.kwa majibizano yale, Halima ana makosa
Halima anavuta bangi, mpweke na ana matatizo ya malezi
usitetee watu wa aina ile
utakuja kutetea mama yako katuvalia nusu uchi,kisa joto, epukeni kuweka execuse kwenye makosa ya wazi kabisa
Vurugu za Jana Bungeni: Chanzo ni Mhe. Job Ndugai!- Ni Dikteta Hatari Kuliko Spika Anne Makinda!.Usipojiheshimu usitegemee kuheshimiwa.
"Mdee kikalishe"
"hivi kati ya Wenje na Masha nani mwanamke" nilimsikia Spika akitamka.
Kwa wanaomtetea Ndugai hebu mtueleze haya maneno yalistahili kutamkwa na kiongozi mkuu wa moja ya mihimili yetu? Kweli?
Mfano wewe ni binti halafu unamsikia baba yako akikwambia hebu na wewe "kikalishe" utajisikiaje au baba anawaambia vijana wake wa kiume kati yenu nani mwanamke. Definitely haya sio matamshi mazuri kutamkwa na mtu mwenye heshima na busara, kwa sababu si kwamba tu yanamdhalilisha anayeambiwa bali yanamdhalilisha hata yeye.
Kwa case ya juzi yamedhalilisha pia kiti cha spika, nasema kakidhalilisha kiti kwa sababu kuna siku Naibu spika anaweza kuambiwa the same na wabunge.
Ni kweli Mdee alikosea lakini inawezekana aligadhabika kutokana na yeye kudhalilishwa na kwa haraka haraka akaona neno 'fala' linaweza kuwa ndilo sahihi na lenye uzito sawa na alivyoambiwa.
Je, kamati ya bunge ya nidhamu ina uwezo wa kumuita spika kujieleza? Kama kamati haina uwezo basi itafutwe mechanism yeyote ya kumlazimisha akiheshimu kiti.
Sidhani kama uzi huu unamhusu Mdee!kwa majibizano yale, Halima ana makosa
Halima anavuta bangi, mpweke na ana matatizo ya malezi
usitetee watu wa aina ile
utakuja kutetea mama yako katuvalia nusu uchi,kisa joto, epukeni kuweka execuse kwenye makosa ya wazi kabisa
Umechukua hatua gani kumsaidia kwa matatizo yake? Au ni wale wanaofurahia mwingine akiwa na matatizo? Na ikatokea kwamba na wewe kuna anayejua matatizo yako akayatoa hadharani utafurahi?kwa majibizano yale, Halima ana makosa
Halima anavuta bangi, mpweke na ana matatizo ya malezi
usitetee watu wa aina ile
utakuja kutetea mama yako katuvalia nusu uchi,kisa joto, epukeni kuweka execuse kwenye makosa ya wazi kabisa
Mle ndani kuna binadamu na nguruwe kwa hiyo wewe ulie upande wa nguruwe ukisikika unasema tofauti na misemo yao unautafuta mkukiUsipojiheshimu usitegemee kuheshimiwa.
"Mdee kikalishe"
"hivi kati ya Wenje na Masha nani mwanamke" nilimsikia Spika akitamka.
Kwa wanaomtetea Ndugai hebu mtueleze haya maneno yalistahili kutamkwa na kiongozi mkuu wa moja ya mihimili yetu? Kweli?
Mfano wewe ni binti halafu unamsikia baba yako akikwambia hebu na wewe "kikalishe" utajisikiaje au baba anawaambia vijana wake wa kiume kati yenu nani mwanamke. Definitely haya sio matamshi mazuri kutamkwa na mtu mwenye heshima na busara, kwa sababu si kwamba tu yanamdhalilisha anayeambiwa bali yanamdhalilisha hata yeye.
Kwa case ya juzi Ndugai amekidhalilisha kiti cha spika, nasema kakidhalilisha kiti kwa sababu kuna siku Naibu spika anaweza kuambiwa the same na wabunge.
Ni kweli Mdee alikosea lakini inawezekana aligadhabika kutokana na yeye kudhalilishwa na kwa haraka haraka akaona neno 'fala' linaweza kuwa ndilo sahihi na lenye uzito sawa na alivyoambiwa.
Je, kamati ya bunge ya nidhamu ina uwezo wa kumuita spika kujieleza? Kama kamati haina uwezo na hatuwezi kumlazimisha mtu kujiheshimu basi itafutwe mechanism yeyote ya kumlazimisha angalau akiheshimu kiti.
Sisi sio watoto maneno ya kawaida tunayajua ya kihuni tunayajua ya mitaani tunayajua, 'kitulize' au 'kikalishe' ni maneno yanayotumiwa na wahuni tunajua usitake kujifanya hujui.Hayo maneno mbona yakwaida, kasomeni kamusi yana maana gani? Sasa kama aliuliza siangejibiwa kuwa kati yao hamna mwanamke si basi! Haya mawazo machafu sijui yanatokaga wapi?
Kwahiyo wewe unatetea maneno ya Ndugai so what is the difference between you and me.
Jenifa Mhagama anayejifanya kulialia kila siku kutetea wanawake mbona sijasikia akisema Mdee kadhalilishwa.Kwangu mimi, maneno ya Spika yalikuwa ya hovyo zaidi kuliko hata ya Mdee, hasa kwa kuzingatia nafasi yake. Spika alitumia lugha ya maudhi, wala asitegemee kuheshimiwa na watu anaowaongoza. Heshima hailazimishwi bali ni tunda la matendo na kauli zako.