Nilisema toka mwanzo kuchukua watangazaji wengi haitoshi bali ubunifu kwenye vipindi ndio unatakiwa..unaweza kumfundisha mtangazaji yeyote akafit...! ITV wanajua sana kufundisha watu hasa kwenye utangazajiAzam TV hawachelewi kumchukua maana wao kama Yanga hawataki mtu ang'ae nje yao . Bado sijaona umuhimu wa Azam kurundika watangazaji wote wale mahiri !
Huyu kijana alitokea mlimani TV..huyu hajaleta picha husika Kama ni kweliahaa hiyo mic mbona kama ni ya mliman tv
hili nimeliona na nahisi AZAM kama hawana mipango ya muda mrefu watapoteza malengo ya wengi sanaNilisema toka mwanzo kuchukua watangazaji wengi haitoshi bali ubunifu kwenye vipindi ndio unatakiwa..unaweza kumfundisha mtangazaji yeyote akafit...! ITV wanajua sana kufundisha watu hasa kwenye utangazaji
Hahaa hapo kaz kwake sasaasante kujazia nyama mhimize asibweteke