Mara ya mwisho niliona jamaa anauza 3500/sqm, Kisota huko wanakaa madon tu hawana pesa ya mawazo kama kina sisi, wakitajiwa hawapindui.Mmmh! Hiyo bei!. Ina maana mita 20 x 20 = milioni 20? Duuuh!!!! Haya kazi uendelee (kauli ya mama)
Hii imekaaje?PROPERTY INVESTMENT COMPANY LTD inakuletea Viwanja vya bei nafuu vinavyopatikana KISOTA KIGAMBONI:
✓Viwanja vipo km 3 kutoka fery, pia vipo umbali wa km 2 kutoka darajani.
✓Vipo karibu na Kwa mkorea
✓Bei zetu ni Shillingi za kitanzania 50,000/sqm
✓Malipo yetu ni rahis Tu,utaanza Kwa kulipa 50% kisha utamalizia iliyobaki Kwa kipindi cha miezi 6.
✓Viwanja vimepimwa na vina hati.
✓Vinafikika Kwa urahisi
✓Malipo ni Kwa awamu(Hapa huwezi shindwa).
✓Kwenda site ni kila siku ya Jumatatu mpaka Jumamosi.
Kwa mawasiliano zaidi Call/SMS/WhatsApp: 0712156900
View attachment 2185659
Ndio, kama bei itakuwa nzuri nauza.Unataka kuuza?
Kisota haijawahi kuwa 15,000/sqm kiongozi, hii niliyopost ndiyo bei ya ofisi ingawa mazungumzo hapo, Kwa maelezo zaidi unaweza fika ofisini tupo Ubungo Plaza.Hii imekaaje?
February mwaka huu bei ilikuwa 15,000/sqm.
Leo bei imepanda hadi 50,000/sqm kwa eneo hilohilo?
Kupatana Buy & Sell on Tanzania's #1 classifieds
Sell and buy used goods nearby - Kupatana is the best place to sell or buy new or used items in various categories like multimedia, cars, ready-to-wear, furniture… near youwww.zoomtanzania.com
Poa poa chiefNgoja nifuatilie nitakupa mrejesho.
Pia vipo vingine maeneo mengine kama Cheka, Pangani Kibaha, Bunju...Unapata Kiwanja Kwa uwezo wako,ushindwe wewe Tu.
Ushahidi si huo hapo? Au siyo kampuni yako?Kisota haijawahi kuwa 15,000/sqm kiongozi, hii niliyopost ndiyo bei ya ofisi ingawa mazungumzo hapo, Kwa maelezo zaidi unaweza fika ofisini tupo Ubungo Plaza.
Ndiyo maana unalipa m10 kwanza na wanakupa miezi 3 ya kutafuta m10 za salio.Mmmh! Hiyo bei!. Ina maana mita 20 x 20 = milioni 20? Duuuh!!!! Haya kazi uendelee (kauli ya mama)
Still, wew kama sales rep wa kampuni unatakiwa utuambie kwanini kuwe na tofauti kubwa kama hiyo kwenye bei? Hakuna mtu atawachukulia kama ni kampuni makini kwa hili, na haswa wewe kushindwa kutoa maelezo kwanini iwe hivyo.Hapana Mimi siyo mmiliki wa kampuni Bali ni Sales representative wa kampuni.