Plot4Sale Special Thread: Tunauza Viwanja maeneo mbalimbali

Ochumeraa

JF-Expert Member
May 18, 2015
4,505
5,714
PROPERTY INVESTMENT COMPANY LTD inakuletea Viwanja vya bei nafuu vinavyopatikana KISOTA KIGAMBONI:

✓Viwanja vipo km 3 kutoka fery, pia vipo umbali wa km 2 kutoka darajani.
✓Vipo karibu na Kwa mkorea
✓Bei zetu ni Shillingi za kitanzania 50,000/sqm
✓Malipo yetu ni rahis Tu,utaanza Kwa kulipa 50% kisha utamalizia iliyobaki Kwa kipindi cha miezi 6.
✓Viwanja vimepimwa na vina hati.
✓Vinafikika Kwa urahisi
✓Malipo ni Kwa awamu(Hapa huwezi shindwa).
✓Kwenda site ni kila siku ya Jumatatu mpaka Jumamosi.

Kwa mawasiliano zaidi Call/SMS/WhatsApp: 0712156900

IMG_20220412_221046.jpg
 
Chief hivi kibada shule pale itakuwa imefikia sh ngapi kwa sqm, nina sqm kama 1700 na upuuzi hivi, kama imefika pazuri nipabwenge nifanye mengine.
 
PROPERTY INVESTMENT COMPANY LTD inakuletea Viwanja vya bei nafuu vinavyopatikana KISOTA KIGAMBONI:

✓Viwanja vipo km 3 kutoka fery, pia vipo umbali wa km 2 kutoka darajani.
✓Vipo karibu na Kwa mkorea
✓Bei zetu ni Shillingi za kitanzania 50,000/sqm
✓Malipo yetu ni rahis Tu,utaanza Kwa kulipa 50% kisha utamalizia iliyobaki Kwa kipindi cha miezi 6.
✓Viwanja vimepimwa na vina hati.
✓Vinafikika Kwa urahisi
✓Malipo ni Kwa awamu(Hapa huwezi shindwa).
✓Kwenda site ni kila siku ya Jumatatu mpaka Jumamosi.

Kwa mawasiliano zaidi Call/SMS/WhatsApp: 0712156900

View attachment 2185659
Hii imekaaje?

February mwaka huu bei ilikuwa 15,000/sqm.

Leo bei imepanda hadi 50,000/sqm kwa eneo hilohilo?

Hii imekaaje?

February mwaka huu bei ilikuwa 15,000/sqm.

Leo bei imepanda hadi 50,000/sqm kwa eneo hilohilo?

Kisota haijawahi kuwa 15,000/sqm kiongozi, hii niliyopost ndiyo bei ya ofisi ingawa mazungumzo hapo, Kwa maelezo zaidi unaweza fika ofisini tupo Ubungo Plaza.
 
Hapana Mimi siyo mmiliki wa kampuni Bali ni Sales representative wa kampuni.
Still, wew kama sales rep wa kampuni unatakiwa utuambie kwanini kuwe na tofauti kubwa kama hiyo kwenye bei? Hakuna mtu atawachukulia kama ni kampuni makini kwa hili, na haswa wewe kushindwa kutoa maelezo kwanini iwe hivyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom